Appoh umeamua kuja kwa Id nyingine baada ya Watu kukushitukia kuwa wewe ni tapeli, ukivikusanya vi elfu ishirini ishirini kwa Watu watano tayari una laki moja kweli mjini akili tu, eti zoezi la siku moja tu upone kweli wajinga ndio waliwaochukua ndizi mbili karot mbili tikit kipande kula nyama tu usile na mbegu kisha shika kiuno kwa mikono miwili alafu fanya kama unacheza rege hivi kwa dk kaama 15 fanya kwa kupumzika kila baada ya dk moja fanya asubuh na jion kwa siku moja tu alafu upime kilo za mzigo utakaoutua ukipenda ongeza dozi upate mzigo mwingi