Vitu gani mtu akiposti mtandaoni unaona ni ulimbukeni na ushamba

Vitu gani mtu akiposti mtandaoni unaona ni ulimbukeni na ushamba

You are a controlling freak!

Low key umefanya the same, tofauti ya JF na mitandao mingine “yawezekana” humu unataka validation ya hisia zako kupitia maandishi. (A low budget attention seeking)

Kijijini kwetu kuna usemi wa ukimnyooshea mtu kidole, vidole vinne vina point kwako, just saying… let people be.
 
Back
Top Bottom