Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 681
- 923
Nadhani watu wengi hawajui maana(logic) ya neno POST. Kupost ni kuonyesha WATU, sio kwa ajili yako. Kwahyo kila unachopost ni kwa ajili ya watu sio wewe, na ndio maana kuna sehemu ya watu kucomment.
Kwahyo kabla hujapost chochote jua kabisa kuwa unapost kwa ajili ya watazamaji, na watakutafsiri kulingana na wanayoyaona.
Na ndio maana watu wenye mafanikio ya kweli ni nadra sana kuona wanapost MAISHA YAO BINAFSI bila ulazima kwa sababu wanachokitafuta ni FURAHA YAO sio social proof.
Hii ndio Logic inayotesa wengi.
SOCIAL VALIDATION is a scam, ile mindset ya "nitawaonyesha" inatokea kwenye huu mtego.
Mwanamke ambaye hajiamini atapost picha nyingi sana mtandaoni ili ajiridhishe kupitia comments za wanaume. (Anapost mwili kuliko Biashara au kazi)
Mwanaume ambaye hajiamini atapost kujionyesha anamiliki hiki na hiki ili ajiridhishe kupitia comments za wanawake. (Na hizo mali si zake)
Mtu ambaye haamini kama anaweza kufanikiwa sana, hata akinunua cover jipya tu la simu atapost kuonyesha watu.
Ukifikia Level ambayo unaweza kufanya vitu bila kulilia SOCIAL PROOF ujue tayari upo kwenye CLEAN VERSION ya binadamu mwenye VALUE ya juu sana.