Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kukata matuta ya viaziHabari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Utoto raha sana
anaweza akajisaidia na haja K km ni mtotoUtoto raha sana
Habari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.
[emoji3][emoji3][emoji3] uwiiiii wewe sio binadamu wakawaidakunyoa mavu-zi na kuyarusha kwenye mvua kupitia dirishani
Ila kuna kitu hapo umetuficha[emoji6] ukibanwa haja ndogo umalizagi humohumo kweli[emoji3][emoji3]?Kama nina nguo chafu uwa natoka nje kuzifua then naoga huko huko kwenye mvua huku nakinga na maji halafu nikimaliza naingia kusikiliza muziki mpaka nalala
Umenikumbusha mbali sana. I'll try to it. [emoji23]Kama nina nguo chafu uwa natoka nje kuzifua then naoga huko huko kwenye mvua huku nakinga na maji halafu nikimaliza naingia kusikiliza muziki mpaka nalala
[emoji23][emoji23][emoji23] khakunyoa mavu-zi na kuyarusha kwenye mvua kupitia dirishani
😀😀😀 ni michezo yako sio?Ila kuna kitu hapo umetuficha[emoji6] ukibanwa haja ndogo umalizagi humohumo kweli[emoji3][emoji3]?
Nipo darling, majukumu tuu ukisha badilishwa jina lazima ukubali kupotea mitaa flan flan hivii...😌😌😀😀😀
We dada nimekuhamu ujue na mwenzio Shunie
Kama nina nguo chafu uwa natoka nje kuzifua then naoga huko huko kwenye mvua huku nakinga na maji halafu nikimaliza naingia kusikiliza muziki mpaka nalala