Vitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha?

Vitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha?

Habari za muda huu wadau, kama mada inavyosemeka. Ni kitu gani unapenda kufanya wakati mvua inanyesha. Binafsi huwa napenda sana kuwa ndani nimelala, usingizi huwa unakuwa smooth sana. Vipi mdau tupe experience yako.
kukata matuta ya viazi
 
Malizia bhana..


Halafu unakuja ndani ukiwa na khanga yako iliyogandia mwilini , Then tunacheza wimbo wa Alaji..

Kinachofuata kinafurahishaga..[emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nina nguo chafu uwa natoka nje kuzifua then naoga huko huko kwenye mvua huku nakinga na maji halafu nikimaliza naingia kusikiliza muziki mpaka nalala
 
Write your reply...kuvungulia machemba yangu ya mavi

sina ela ya kuleta gari linyonye nyumba ni kubwa mnoo ziko mbili kwa pamoja za wapangaji almost 23
 
Back
Top Bottom