Vitu gani vidogo vidogo unavyovitumia umevimiliki kwa muda mrefu sana

Hah kitu kama sina uhitaji nacho huwa sinunui kipya, Nina kitana changu cha kuchania nywele ndogondogo Bado kipo Bomba kina miaka mingi mnooo.
 
Kutojali tu. Kuna dawa ya meno ukinunua unapata na mswaki mpya ndani.
Yeah ni sahihi kabisa

Kuna baadhi yetu hatujijali kabisa

Ni sawa na baadhi ya Sisi Wanaume kushindwa kubadiri nguo za ndani (Boksa) hadi zinatoboka ama kubadirika rangi kabisa πŸ™Œ

Halafu mtu wa hivyo unakuta anatumia hela nyingi Kwa Kula Bata lakini kujijali binafsi hawezi
 
Huu mzigo tangu 1990 mbaka leo nabadili betri tu, mchina wa enzi hzo....chumaaa🫑🫑
 

Attachments

  • 17243034270024142144178036007192.jpg
    1.1 MB · Views: 6
Tofauti na vitabu kwa sasa sina kitu kingine cha muda mrefu.

Inatakiwa mtu utoe vitu ulivyo navyo kila baada ya muda fulani, kukaa na vitu vya zamani ni 1 ya dalili za kutokukubali mabadiliko na kuchelewesha maendeleo binafsi.

Ila kuna watu hawawezi kabisa hilo zoezi, wanakuwa wamejenga bond na vitu vyao hadi wanakaribia kufanana navyo πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Miaka 8πŸ™Œ

Labda kama ulipewa zawadi na your lifetime partner hivyo umefanya kuitunza kama Kumbukumbu yenu
Inawezekana siunajua ke kwakutunza vitu kwenye makabati,imagine mama yangu anavyombo alivyopewa kama zawadi kwenye harusi yake na mshua hadi leo wajukuu wamevikuta tena kwenye good condition
 
Inawezekana siunajua ke kwakutunza vitu kwenye makabati,imagine mama yangu anavyombo alivyopewa kama zawadi kwenye harusi yake na mshua hadi leo wajukuu wamevikuta tena kwenye good condition
Kwenye kutunza kumbukumbu (Ke) mnaweza aisee

Mimi Kuna zawadi ya Wallet niliwahi kupewa na GF wangu miaka kadhaa iliyopita.

Niliitumia baada ya miezi 6, nikaitupa

Mwenyewe hakupenda, alitaka niiweke sehemu kama Kumbukumbu πŸ™Œ

Hayo mambo me hatuwezi
 
Kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…