Vitu gani vinavyokufanya umchukie mtu haraka??

1. Tabia ya kuropoka ropoka na kuongea hovyo

2. Unakuta kwenye maongezi anataka kutawala yeye halafu ni kujisifia tuu, mimi nina hiki, mara mimi ni mwema, mara nimejenga nyumba mbili kumbe ni kama choo

3. Simu inaita katikati ya watu wana mazungumzo yao linaipokea hapo hapo linaanza kuongea tena kwa sauti mambo ambayo yanamhusu yeye tuu na ni kero kwa wengine kusikia halichepuki kwenda kusikilizia mbali bali linabaki hapo hapo linaongea kwa kupayuka huku linacheka

4. Simu inaita limeweka mlio mkubwa wa kero kuipokea tuu linachukua dakika tano linaingalia tuu ule mlio unaendelea kukera

5. Limekutana na mtu mara ya kwanza hata halijamsoma hibi zake linaanza kubwabwaja tuu mara muziki mara nini bila kuelewa kwamba linaweza kuwa linam bore mwezake

6. Kwa bahati mbaya mtu anapumua kaushuzi chake baada ya kushiba maharage yake, Limtu ndio linaanza kupiga keleleee!!! nani kajamba!!! linazunguka huku na kule likiwa limebana pua!!! jitu zima kabisa lisilo na staha utafikiri lenyewe huwa linatoa ushuzi wa perfume ama choclate

7. Limtu la kulalamika lenye gubu kitu kidogo litaonea wee litapika kelele!!! mko hotelini meagiza chakula lenyewe labda halijapendezwa na chakula hicho ila wengine poa basi litapiga kelele wee mpaka!!! au umepanda daladala ukalikanyaga au kuligusa kwa bahati mbaya litaonea njia nzima hata ukiliomba msamaha wapi nawapi
 
Wale wanaojikuta wapo juu, wanajua kila kitu na wanapenda wajulikane na kuongea kwingi
 
1. Tabia ya kuropoka ropoka na kuongea hovyo

2. Unakuta kwenye maongezi anataka kutawala yeye halafu ni kujisifia tuu, mimi nina hiki, mara mimi ni mwema, mara nimejenga nyumba mbili kumbe ni kama choo

3. Simu inaita katikati ya watu wana mazungumzo yao linaipokea hapo hapo linaanza kuongea tena kwa sauti mambo ambayo yanamhusu yeye tuu na ni kero kwa wengine kusikia halichepuki kwenda kusikilizia mbali bali linabaki hapo hapo linaongea kwa kupayuka huku linacheka

4. Simu inaita limeweka mlio mkubwa wa kero kuipokea tuu linachukua dakika tano linaingalia tuu ule mlio unaendelea kukera

5. Limekutana na mtu mara ya kwanza hata halijamsoma hibi zake linaanza kubwabwaja tuu mara muziki mara nini bila kuelewa kwamba linaweza kuwa linam bore mwezake

6. Limtu la kulalamika lenye gubu kitu kidogo litaonea wee litapika kelele!!! mko hotelini meagiza chakula lenyewe labda halijapendezwa na chakula hicho ila wengine poa basi litapiga kelele wee mpaka!!! au umepanda daladala ukalikanyaga au kuligusa kwa bahati mbaya litaonea njia nzima hata ukiliomba msamaha wapi nawapi
Swadakta mkuu
Ila ndiyo hao wenye misifa ya kijinga kama hiyo kiufupi watu wa design hiyo hawajielewi
 
kuniambia uongo, aisee sipendi kabisa hii tabia. nikishakugundua ipo hatari ya mimi kupunguza ukaribu na wewe. tabia nyingine ni dharau na kupenda kutawala mazungumzo, yaani unakuta mtu mnapopiga story yeye tu ndo anapenda aongee, hii ni aina fulani ya dharau pia. uzuri mimi sipendi unafiki, nikishagundua mtu una tabia hizi nakaa mbali na wewe au mara chache naweza nikakuchana ili uamue mwenyewe kujirekebisha kama utapenda.
 
Mimi ukinianza kuniambia mambo yako ambayo hayanihusu nakuona Mjinga na Dharau inaanzia hapo.
 
Binafsi, sio kuchukia as such but sipendi intrusion katika private life. I am a very private person and nina limits sana who I engage with. I like to keep my circle very small. So I easily cut off ties with nosey people.

Sipendi hypocrisy/ Unafki.😡😡I hate it with a passion. Why mtu uwe na sura mbili? Sipendi maneno neno. Ishu za kike yaani kutoa maneno hapa, kuyapika kupeleka pale, ku discuss watu.

Napenda watu straight. I like people wanaojielewa. Good natured people who love life. Who keep promises, who stay positive.

Wanaowadharau wanawake kutwa kuwasema.Wasiojua thamani ya mwanamke.
Na ambao humu wanatumiaga usemi wa 'kuwatumia 'wanawake. *****.
 
1. Tabia ya kuropoka ropoka na kuongea hovyo

2. Unakuta kwenye maongezi anataka kutawala yeye halafu ni kujisifia tuu, mimi nina hiki, mara mimi ni mwema, mara nimejenga nyumba mbili kumbe ni kama choo

3. Simu inaita katikati ya watu wana mazungumzo yao linaipokea hapo hapo linaanza kuongea tena kwa sauti mambo ambayo yanamhusu yeye tuu na ni kero kwa wengine kusikia halichepuki kwenda kusikilizia mbali bali linabaki hapo hapo linaongea kwa kupayuka huku linacheka

4. Simu inaita limeweka mlio mkubwa wa kero kuipokea tuu linachukua dakika tano linaingalia tuu ule mlio unaendelea kukera

5. Limekutana na mtu mara ya kwanza hata halijamsoma hibi zake linaanza kubwabwaja tuu mara muziki mara nini bila kuelewa kwamba linaweza kuwa linam bore mwezake

6. Limtu la kulalamika lenye gubu kitu kidogo litaonea wee litapika kelele!!! mko hotelini meagiza chakula lenyewe labda halijapendezwa na chakula hicho ila wengine poa basi litapiga kelele wee mpaka!!! au umepanda daladala ukalikanyaga au kuligusa kwa bahati mbaya litaonea njia nzima hata ukiliomba msamaha wapi nawapi

Dah mkuu.

Tuungane kukemea hizo tabia zinanikera pia.
 
Anayejidai na anayependa kuuvaa uhusika usio wake
 
Kutokuwa systematic katika mambo yako na kuwa msumbufu.... Nawahate sana watu wa design hii
 
Back
Top Bottom