Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Mchoyo hasa wa misos
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadakta mkuu1. Tabia ya kuropoka ropoka na kuongea hovyo
2. Unakuta kwenye maongezi anataka kutawala yeye halafu ni kujisifia tuu, mimi nina hiki, mara mimi ni mwema, mara nimejenga nyumba mbili kumbe ni kama choo
3. Simu inaita katikati ya watu wana mazungumzo yao linaipokea hapo hapo linaanza kuongea tena kwa sauti mambo ambayo yanamhusu yeye tuu na ni kero kwa wengine kusikia halichepuki kwenda kusikilizia mbali bali linabaki hapo hapo linaongea kwa kupayuka huku linacheka
4. Simu inaita limeweka mlio mkubwa wa kero kuipokea tuu linachukua dakika tano linaingalia tuu ule mlio unaendelea kukera
5. Limekutana na mtu mara ya kwanza hata halijamsoma hibi zake linaanza kubwabwaja tuu mara muziki mara nini bila kuelewa kwamba linaweza kuwa linam bore mwezake
6. Limtu la kulalamika lenye gubu kitu kidogo litaonea wee litapika kelele!!! mko hotelini meagiza chakula lenyewe labda halijapendezwa na chakula hicho ila wengine poa basi litapiga kelele wee mpaka!!! au umepanda daladala ukalikanyaga au kuligusa kwa bahati mbaya litaonea njia nzima hata ukiliomba msamaha wapi nawapi
Mwizi na mnafikiMimi ukinianza kuniambia mambo yako ambayo hayanihusu nakuona Mjinga na Dharau inaanzia hapo.
1. Tabia ya kuropoka ropoka na kuongea hovyo
2. Unakuta kwenye maongezi anataka kutawala yeye halafu ni kujisifia tuu, mimi nina hiki, mara mimi ni mwema, mara nimejenga nyumba mbili kumbe ni kama choo
3. Simu inaita katikati ya watu wana mazungumzo yao linaipokea hapo hapo linaanza kuongea tena kwa sauti mambo ambayo yanamhusu yeye tuu na ni kero kwa wengine kusikia halichepuki kwenda kusikilizia mbali bali linabaki hapo hapo linaongea kwa kupayuka huku linacheka
4. Simu inaita limeweka mlio mkubwa wa kero kuipokea tuu linachukua dakika tano linaingalia tuu ule mlio unaendelea kukera
5. Limekutana na mtu mara ya kwanza hata halijamsoma hibi zake linaanza kubwabwaja tuu mara muziki mara nini bila kuelewa kwamba linaweza kuwa linam bore mwezake
6. Limtu la kulalamika lenye gubu kitu kidogo litaonea wee litapika kelele!!! mko hotelini meagiza chakula lenyewe labda halijapendezwa na chakula hicho ila wengine poa basi litapiga kelele wee mpaka!!! au umepanda daladala ukalikanyaga au kuligusa kwa bahati mbaya litaonea njia nzima hata ukiliomba msamaha wapi nawapi
Hapana ila nilitamani sana washinde
Ohooooo....[emoji45] [emoji45] [emoji45]
Naona nimepotea njia....[emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]