Ngushi
JF-Expert Member
- Jul 8, 2016
- 9,065
- 18,358
Mkuu hao kuloiler chakula unanunua au unatengeneza mwenyewe?Uko sahihi sana mkuu mimi ni mfugaji wa kuku chotara nauza mayai ya kuroiler.Pia kwasababu ya uhitaji wa mayai ya kisasa huwa nanunua kwa jumla trei 100 then nawauzia watu wa chips.Soko kubwa la mayai ni wauza CHIPS.
Na hao wadau wanaangalia vitu vitatu nitavipanga kulingana na umuhimu wake.
1.Bei
2.Size
3.Kiini cha njano
Sasa mayai ya chotara au kienyeji hayawezi kukidhi hivyo vigezo kwanza yanauzwa bei juu pili ni madogo kwa size kigezo cha tatu walau yanakidhi kuwa na kiini cha njano. Huwezi mueleza mtu wa chips Habari za mayai kuwa yana mbegu bla bla hizo hazina maana.
Maana nilikua na sasso wanataga sijui ata nmewakosea nini wamepunguza kabisa kutaga!