Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena?
Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital world?
CV yenyewe sasa haina issue maana ukijaza online job application CV inajidraft yenyewe. CV itumike kwenye maombi ya mkono tu.
Tubadilike, sio mpaka waanze wazungu ndo sisi tuamke. Tutakuwa watu wa kuigaiga mpaka lini?
CV Hawa wazee wanasema enzi zao haikuwepo , serikali iliiga wazungu. Sasa sisi twende mbele tuachane nayo.