Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ndugu wewe ndiyo wale wa kusema viwanda vinaua ubunifu tusage kwa mawe kama bibi zetuKusumbuliwa ni sehemu ya usaili ili kupata uelewa,kumbukumbu,uvumilivu,ufuatiliaji na uwezo-jumla.Kutaka urahisi muda wote,unataka ukwepe nini?
Nida inatengenezwaje?? ulidaiwa cheti cha kuzaliwa wakat unatengeneza nida??Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena?
Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital world?
CV yenyewe sasa haina issue maana ukijaza online job application CV inajidraft yenyewe. CV itumike kwenye maombi ya mkono tu.
Tubadilike, sio mpaka waanze wazungu ndo sisi tuamke. Tutakuwa watu wa kuigaiga mpaka lini?
CV Hawa wazee wanasema enzi zao haikuwepo , serikali iliiga wazungu. Sasa sisi twende mbele tuachane nayo.
Wala sipo huko.Nataka nimfundishe mleta uzi/wewe na wenzake wayajue hayo.Hakuna vitu rahisirahisi tu maishani.Waishi kwa uvumilivu na si shortcuts.Ndugu wewe ndiyo wale wa kusema viwanda vinaua ubunifu tusage kwa mawe kama bibi zetu
Unapoajiriwa lazima ujulikane umri wako kama chini ya 18 au juu ya 56.Kijana ana NIDA/NIN ambayo ina details zote muhimu. Kitambulisho cha NIDA hakijaandikwa vitu vingi ila kwenye database ya NIDA Kuna taaarifa zote za huyo kijana. Sasa cheti cha kuzaliwa cha nini tena?
Kuna usaili, huko pimeni writing skil na speaking skil. Barua ya nini huku tumehamia digital world?
CV yenyewe sasa haina issue maana ukijaza online job application CV inajidraft yenyewe. CV itumike kwenye maombi ya mkono tu.
Tubadilike, sio mpaka waanze wazungu ndo sisi tuamke. Tutakuwa watu wa kuigaiga mpaka lini?
CV Hawa wazee wanasema enzi zao haikuwepo , serikali iliiga wazungu. Sasa sisi twende mbele tuachane nayo.
Kwenye taarifa za NIN hakuna mahali pa umri?Unapoajiriwa lazima ujulikane umri wako kama chini ya 18 au juu ya 56.
NIN haina taarifa za umri?Unapoajiriwa lazima ujulikane umri wako kama chini ya 18 au juu ya 56.
Mfumo wa kupata NIN ndio mfumo mgumu na uliohakikiwa kuliko mifumo yote hapa nchini . Cheti cha kuzaliwa unaweza kukipata ndani ya dk 20 sabababa, nane nane na kwenye warsha zingine.Nida inatengenezwaje?? ulidaiwa cheti cha kuzaliwa wakat unatengeneza nida??
mkuu hivi vinahitajika kwasababu wanaelewa mifumo iliyotumika kupata izo NIDA.
Hii mifumo ingekua imenyooka NIDA ingeaminika
Ma HR job leo wanakuomba namba ya NIDA miezi 2 mbele wanaomba tena.Kama kuna wasomi vilaza Tanzania basi hao waliosomea mambo ya HR.
Lakini,hawaamui tu.Miongozo ndiyo wanaifuata.Kama kuna wasomi vilaza Tanzania basi hao waliosomea mambo ya HR.