Vitu kupewa jina la Nyerere imetosha tuvipe na majina ya viongozi wengine

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Pamoja na kuwa baba wa Taifa ila vitu vingi sana vimepewa jina lake
Nashauri imetosha tuwape na wengine maana sasa historia inakuwa kwa mtu mmoja kama wengine hawakuwepo tu hebu tazama
Mwalimu nyerere memorial academy
Mwalimu nyerere international airport
Nyerere hydroelectric power
Nyerere road
Nyerere national park
Nyerere square
 
Nyerere primary and secondary!

Mi nazani tatizo ni katiba mpya ....ili iwape watu zaidi kupendekeza jina mfano, daraja la nyerere kurasini lingetosha kuitwa KIGAMBONI BRIDGE,
AU TAZARA Flyover na siyo mfugale, uwanja wa taifa ungebaki kuwa national stadium na siyo mkapa ambaye hata hakuwahi kucheza mpira!
 
Kweli
 
Haya hayaitaji hata katiba
 
Tulipokuwa tunaelekea lile daraja la njia panda ya Veta lingekamilika wakati yule jamaa aliyekuwa anatoa zawadi kwa marafiki zake lile angempa hawara yake Kabula,lingeitwa Kabula fly over
 
Njoo tuweke jina lako afu uwasalimie kina kijazi, mfugale na Jpm
 
Nyerer mwenyewe katurithisha umasikini na siasa za ukandamizaji.
Demokrasia kwake ilikuwa msamiati.
Alistaafu akaendelea kuipigia kampeni ccm halafi tumwite baba wa Taifa, hainingii akilini.
 
Nyerere primary and secondary!

Mi nazani tatizo ni katiba mpya ....ili iwape watu zaidi kupendekeza jina mfano, daraja la nyerere kurasini lingetosha kuitwa KIGAMBONI BRIDGE,
AU TAZARA Flyover na siyo mfugale, uwanja wa taifa ungebaki kuwa national stadium na siyo mkapa ambaye hata hakuwahi kucheza mpira!
Wanakuza mambo waonekane wamefnya kazi kubwa
 
Hivi ni nani hasa huwa anapendekeza kuwa sehemu/kitu flani kiitwe jina la fulani
 
Siyo lazima majina ya viongozi.
Mfano barabara ziitwe COVID 19 au hata Manara wa simba
 
Back
Top Bottom