Vitu kupewa jina la Nyerere imetosha tuvipe na majina ya viongozi wengine

Bora aitwe hata Nyerere, sio wapewe majina hawa wahuni wanaotuambia tuhamie Burundi na kusakizia watu kesi za ugaidi.
 
Kuna haja hata ya kuwe na jina la mtu? Si waweke jina la eneo tu.
 

Aisee πŸ˜€

Kwahyo hata majina ya vitu ni mpaka katiba mpya!??

Itafika hatua sasa hata kushindwa kumkuna mkeo utasema shida ni kutokuwa na katiba mpya πŸ˜€πŸ˜€
 
Mwalimu Julius K. Nyerere University of Agriculture and Technology (MJNUAT)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…