Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

Mtoto wa kiume kusuka nywele, kuvaa heleni na kupaka rangi za mdomo kama domo, yesssir n.k ni kutaka kuposwa
 
1.kusikiliza taarabu za kina mzee yusuph zile.

2.kumwambia mwanaume mwenzio umemmis(ukinambia mimi nakupiga na jiwe)

3.kuvaa suruali za kijani,njano au pink tena zile za kubana.

4.kuvaa milegezo
5.kumwita mwanaume mwenzio 'wangu',dear,mpenz.

5
 
1. Kuendelea kukaa home kwa maza wakati unafanya kazi

2. Kuongea na wanaume wenzako unawashika shika au kugonga kike kike

3. Kufatana fatana na mademu ovyo ovyo ambao huna uhusiano nao, aka kushika mapembe

Aisee hiyo namba mbili inanikera sana!
 
1. Kutoka na washkaji huna hela (na hutoi taarifa kama umechacha) muda wa kulipa bili unacheka cheka

2. Kutegea kulipa bili kila siku hata kama una hela

3. Kupenda kumsifia demu wako mbele ya washkaji, eti ni mzuri, kazi anaiweza; unless ni wa mpito tu

4. Kugombana na demu wako afu unamponda mbele ya washkaji, mara hajui mapenzi, anaomba omba hela, nimemfumania etc; kausha, maana siku ukirudiana naye wewe ndiye utakayeona aibu

5. Kutotunza siri, mshkaji anakusimulia siri unaenda kutangaza

6. Kuwaponda washkaji zako kwa mademu zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…