mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
- Thread starter
- #21
mtoto wa kiume sio unaingia sebuleni kwa watu na soksi zako zinatema alafu unaweka miguu juu ya stuli..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa kiume hajambi wewe
wapo wengi tu wanafanya...unakuta shkaji linakutumia usiku usiku meseji gd9t ,,upunga huu
kuombwa hela alafu unafungua thread..... never ever aisee
Kaka,kama kuna ulichokuwa unafanya hapo juu acha mara moja..
nawe uache mkuu, kwa kuwa umeshajitambua.
1. Kuendelea kukaa home kwa maza wakati unafanya kazi
2. Kuongea na wanaume wenzako unawashika shika au kugonga kike kike
3. Kufatana fatana na mademu ovyo ovyo ambao huna uhusiano nao, aka kushika mapembe