Vitu mtoto wa Kiume hatakiwi kufanya

Jamaa kajaza mbaya bonge baunsa,anakuletea soo!
Mtoto wa kiume hapo ukimbie au mtandikane?

mtoto wa kiume akimbii ngumi ukiona kichapo kimekuzidia bora ujifanye umezimia...
 
Mtoto wa kiume hutakiwi kua umejinenepea hovyo,umejazia sehem zote kama kiroba

mtoto wa kiume hutakiwi kutembea umelegea legea kama msichana,tembea kikakamavu
 
Mtoto wa kiume hautakiwi kulia kwa sauti au kuonyesha machozi mbele za watu....mwanaume analia moyoni na anaunguruma kama simba
 
Mwanaume kuchat chat hovyo kwenye simu...mwanaume anapiga anaongea anamaliza
 
Vipi mtoto wa kiume anavuta ganja?
 
mwanaume hatakiwi kujisifia kama demu; eti, ooh kiukweli nimependeza sana...... kama ulivyofanya mr gentleman juzi kati kufungulia thread ya kujisifu umependeza ulichemka mkuu
 
Last edited by a moderator:
Dooh. Basi kama ni ivyo mbona wanaume wote watakuwa ovyo. Ila mimi piga ua napenda sana taarabu na hasa nyimbo za mzee yusuph. Ila ni mwanaume rijali. Asikwambie mtu taarab raha na hasa kama umekulia mikoa ya pwan kama dar.

Ndo ivo nawe umo kwenye kundi la wapaka poda.
 
Nakereka sana mtu akinitext akatumia maneno hayo kwenye red. Kama unaweza kuandika "xaxa" kwanini Ushindwe kuandika "sasa" Ni lini X ikawa S? Kwa watoto wa shule ni sawa tuwaachie lakini kwa mtu mzima tena mwenye hekima na busara sio sahihi ni ushamba na ulimbukeni.
 
Hutakiwi kumuuliza mtu " unafanya kazi wapi?" Halafu ukimpiga mtu mzinga akakunyima, hutakiwi kulalamika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…