1: Hata uone kitu kimekaa poa
niaje,
hutakiwi kusema 'Awww,that's soo
cute! Huo
ni ushoga!
2:Haufai kusema haya maneno
kuonyesha
umeshituka ''Gosh!, Akaah! ama
OMG!
3: Ukiomba kitu haifai kusema
''Jamaaaniii au
pliiiz!
4:Ukitext usitumie ''Xo'
'Xema''Xaxa' 'Pouwar'
ama 'Xwirry!
5:Kummendea demu/mke wa mtu
au rafiki
yako, shemej shemej kibao. Shaur
yako,utakojoa dagaa
6:Hufai kuongelea washkaji
wengne ukiwa na
mademu.huo ni umbea
mwanangu
7:Rangi ya pink usitumie sana
hata kama
unaipenda kwenye vitu vyako
8😀emu akikukataa chapa
lapa.kiroho safi, na
sio eti uanze kudanganya masela
ooh yule mi
nishapiga
9:Usiongee ongee eti unaeza
kumpiga mtu
flan,huo ni utoto ,kama vip nenda
kampige
tuone
10:Usiwe mtu wa kununa nuna
ovyo.alaf
kuhuru vitu vidogo ,mfano msela
kachelewa
kujibu msg yako,bas unanuna siku
nzima,unamnunia nan?
11:kucheki tamthiliya,tena na
madem alaf
mnaanza kuadithiana ilivyo
kuwa,sijui
wafilipino nini..haifai kwa mtoto
wa kiume.....