Nyumbani Digital
Member
- Dec 28, 2020
- 42
- 28
- Thread starter
- #41
Shukran sana boss...Safi sana, kazi nzuri sana ya kuelimisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shukran sana boss...Safi sana, kazi nzuri sana ya kuelimisha
Shukran sana bossHakika kazi nzuri sana
Karibu tena bossSafiiii, nitarud kusoma Tena
Utopolo ltdKuna msemo unasemaga "You'll never get a second chance to make the first impression"
Yaani mtu anavyokuona kwa mara ya kwanza ndivo anavyokuchulia kichwani kwake.
Kuja kubadilisha mtazamo wake,itabidi utumie nguvu nyingi zaidi.
Ndio maana makampuni yanawekeza hela nyingi ktk brand zao, unajua kwanini?
Wanafanya hivo ili kuhakikisha unaendelea kuwa na picha ile ile kichwani kwako.
Picha hiyo/mtazamo huo au kwa lugha fasaha zaidi "BRAND" .
Brand hiyo ndio itakufanya uendelee kununua bidhaa/huduma zao.
Sasa turudi kwa wale wafanyabiashara wa Instagram, au wale ambao wanatamani kuzijenga na kukuza brand zao kupitia Instagram.
Let's say umefanya tangazo lako,mteja akaja kuangalia profile yako.
Je,atakufollow?? Au hatakufollow??
Kuna sababu nyingi hapo...
But kama unataka kuongeza idadi ya watu wanaokufollow wakija profile,nevertheless
The answer is simple, Fanyia kazi vitu hivi 3.
1.LOGO
Hii ndio nembo ya utambulisho wa biashara yako machoni kwa mteja wako.
Ndio itakayomfanya akukumbuke siku nyingine.
Logo itamfanya aweze kuitofautisha biashara yako (bidhaa/huduma au brand yako) na ya mshindani wako.
Logo pia inatoa impression ya seriousness ya mfanyabiashara ,mteja anakuchukulia serious zaidi.
Na kwa wale wenye personal brands,weka profile picture yenye kuvutia na kujenga uaminifu kwa wateja wako.
Tuendelee
2.PROFILE HIGHLIGHTS
Hii ni feature muhimu sana,lakini baadhi ya wafanyabiashara bado hawaitumii.
Kama nawewe ni mmoja wapo,ukimaliza kusoma hapa, nenda kaweke aiseeh.
Profile highlights zinatumika kuaninisha bidhaa/huduma zako,bei , mawasiliano yako bila kusahau customer feedback.
Unamrahisishia mteja akifika,sio mpaka aanze kuscroll sana kuona kila kitu unachouza.
Unaweza weka picha za kawaida, na ukitaka zikae kiprofessional zaidi,kama hizo hapo chini ktk mifano
Unaweza wasiliana nasi .
3.POSTS ZAKO (Design + Layout)
Ukiangalia ktk mifano niliyoiweka hapo chini,utaona.
Posts za social media zikiwa well designed na ukazipangilia kwa layout nzuri,zinavutia mno.
Namna zinavyokuvutia wewe,ndivyo hivyo zinavovutia watu wanaoweza kuwa wateja wako (profile visitors).
Na automatically unajiongezea chance ya mteja kukutafuta na hatimaye ukaweza kuuza.
Hata kama unatumia picha tu,zipangilie vizuri zivutie.
Angalia ktk mifano hiyo ujionee (some of them tumedizain sisi).
Conclusion
Biashara ni kujiongeza, sio kufanya vile vile kila siku kwa mazoea.
I Dare you kujitofautisha nawashindani wako.
Be one step Ahead!!!
Tukutane kesho kwa next lesson.
Cc:NYUMBANI DIGITAL AGENCY
We help to Market,Advertise and Brand Your Business
Text/Call/WhatsApp 0752226475
View attachment 1782985
You're welcomeHahah creative shit, nice
You're welcomeAhsante kwa taarifa...
Apo ndipo market research inahitajika, na sio tu katika kutafuta niche...bali kuongeza innovation pia ili uweze kujitofautisha na washindani wakoKazi ipo kwenye kuchagua eneo (niche) ambayo ina uhitaji kubwa kwa mazingira ya sasa
Hapa ndipo penye changamoto kwa watu wengi, btw nitakuja PM kuna vitu flani nahitaji kuelekezwaApo ndipo market research inahitajika, na sio tu katika kutafuta niche...bali kuongeza innovation pia ili uweze kujitofautisha na washindani wako
Karibu...or easier zaidi, Text me on WhatsApp 0752226475Hapa ndipo penye changamoto kwa watu wengi, btw nitakuja PM kuna vitu flani nahitaji kuelekezwa