Je, ungependa kufahamu Professional Business Emails ni nini?
Na je, zina faida gani kwako wewe mfanyabiashara au mmiliki wa kampuni?
Twende na story hii ya Mr.Juma
Mr.Juma ni mfanyabiashara anayetoa huduma ya usajili wa kampuni na majina ya biashara.
Katika kazi yake hiyo,
Huwa anawasiliana sana na wateja wake kwa ajili ya kushea documents mbali mbali pamoja na kupeana mrejesho.
Anatumia njia mbali mbali kufanikisha hilo, ikiwemo phone calls na emails.
Biashara yake (JUMA CONSULTING AGENCY) imesajiliwa na inatambulika kisheria.
Lakini wateja wake watafahamu vipi hilo?
Ukizingatia sikuhizi mitandaoni kuna matapeli wengi.
Na je, watawezaje kumuamini na kufanya naye kazi, bila Mr.Juma kutumia nguvu nyingi kuwashawishi?
Ukweli ni kwamba wateja hutumia njia nyingi kukujaji (credibility & trustworthy) kabla ya kufanya biashara na wewe.
Atauliza una ofisi? Una business website? Mtaanza kuwasiliana
Mr.Juma alipata mteja, akamwelezea kuhusu huduma anazotoa na wakafikia makubaliano mteja atume documents zinazohitajika.
Mazungumzo yalkua hivi[emoji1484]
Mr.Juma: Utanitumia documents kwa email ili zisipotee
Mteja: Sawa,nipatie e-mail yako
Mr.Juma:
jumaconsultancy@gmail.com
Mteja: [emoji15][emoji15][emoji51][emoji51](crickets)
Mr.Juma:[emoji1781][emoji1781] (haelewi imekuaje)
That was back in the days[emoji2][emoji2]
Now Mr.Juma akiulizwa kuhusu email
Anajibu hivi:[emoji1484]
info@jumaconsultancy.co.tz [emoji4]
[emoji818] More professional
[emoji818] More credibility
[emoji818] More trust from potential clients
Kama unataka kutransform namna wateja wanavochukulia biashara yako,
Professional BUSINESS EMAILS ni sehemu nzuri ya kuanzia.
Especially kwa wale ambao budget iko tight, hawajaweza kuwekeza ktk website bado.
Unaweza tumia emails vizuri tu na ukadunda[emoji6]
Gharama yake ni nafuu pia (5000 tu kwa mwezi* )
Note:- Utahitaji kuwa na domain tayari au kununua,ili upate huduma hii
And subscription is for 12 months duration
Wasiliana nasi leo @nyumbani_digital tukupatie muongozo
Send PM/WhatsApp/call 0752226475 kwa maelezo zaidi
Tembelea account yetu kwa Muongozo zaidi kuhusu WEB DESIGN ,DOMAIN na HOSTING
@nyumbani_digital @nyumbani_digital
@nyumbani_digital
Happy customer service week[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95]