Asee nlijua Mimi ndo man of the matchNgoja aje tuone kama atakuwa anakukumbuka..maana siku ile wengi walikuwa wanataka kupeleka posa
Kwanini dada ChakoriiAcha habari zako kijana[emoji28][emoji28]nakuzoom tu[emoji38][emoji38]
Heh!mi sitaki shule kabisa sasa ivi form 3 inanitosha Ila nikipata pesa nakualika uwe my business partner [emoji4]Nasubiria uingie form four tusaidizane kuwatafutia ufumbuzi[emoji28][emoji28]
Napenda miziki aina yote isipokuwa singeli!!.. napenda pop music kina Michael Jackson hapa ndo mahala pake.. napenda bongo fleva tukija kwenye rege,sijui za kikongo kote nipo kwenye muziki nina mengi naomba niishie hapo..Kaka ni sina gani ya music unapenda
Chakula gani unapendelea..
Unapenda kusoma nini
Kwenye mziki sina tatizo sana..Napenda miziki aina yote isipokuwa singeli!!.. napenda pop music kina Michael Jackson hapa ndo mahala pake.. napenda bongo fleva tukija kwenye rege,sijui za kikongo kote nipo kwenye muziki nina mengi naomba niishie hapo..
Msosi napenda samaki sana,ugali,wali,tambi,kisamvu mboga nyingi zamajani nazikubali..
Napenda kusoma riwaya za kipelelezi Kama za ben mtobwa najisikia kuua tena,n.k
Bia gani unapenda mkuu?Mimi napenda bia madem na kusoma Mambo yaliyofanywa na yanayofanywa na jeshi la Israel (idf sayaret matkal. Commando unit
[emoji23][emoji4][emoji4]mmh!sasa hawa wanaopenda kukaa uchi sitaki bana[emoji28][emoji28][emoji28]wamekjaa sana mkuu..ni vizuri ukajitafutia mwenyewe..
[emoji23][emoji23]Si utawanunulia nguo[emoji28][emoji28]