kiredio Jr
JF-Expert Member
- Jul 8, 2024
- 989
- 1,843
- Nywele Zako (Mtindo Wa Nywele)
- Miwani Ya Macho
- Kiatu Unachovaa
- Saa Uliyovaa
Ongeza Nyingine!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mfano style gani huwezi kunyoaMimi Kuna minyoo na style ya nguo na viatu huwa siwezi kuvaa napenda Sana kuwiana na jamii inavyo taka
Hata wakifake, lakini hizo appearance hutafsiri personality zao kwa wakati husikaKuna watu wanafake hizo appearances.
Naomba maelezo ya ziada kwenye miwani hapo-Nywele Zako (Mtindo Wa Nywele)
-Miwani Ya Macho
-Kiatu Unachovaa
-Saa Uliyovaa
Ongeza Nyingine!!
Nguo za kubana Sanaa , suruali njiwa, kuvaa vile vibukta (vikaputula na kutembea ovyo mitaani)Mfano style gani huwezi kunyoa, au nguo gani huwezi kuvaa
Mfano zile miwani kubwa mpaka mashavuni, utajua tu huyu mtu ni sister du au slay queenNaomba maelezo ya ziada kwenye miwani hapo
Okay sawa ahsante....Mfano zile miwani kubwa mpaka mashavuni, utajua tu huyu mtu ni sister du au slay queen
Vipi kumuona mtu kichaa kumbe ni Mzee wa kutambaa au kukutana na mtanashati kumbe ni tapeli.Kuna watu wanafake hizo appearances.
Hapo umewagusa wale vijana wa makumbusho wauza iPhonesNguo za kubana Sanaa , suruali njiwa, kuvaa vile vibukta (vikaputula na kutembea ovyo mitaani)
kufuga ndevu Kama beberu, kuchora matatuu
Mkuu huko umefika mbali au nje ya box, mada inahusu vitu vidogo ambayo mtu huwa navyo na hupelekea kujulikana personality yakeVipi kumuona mtu kichaa kumbe ni Mzee wa kutambaa au kukutana na mtanashati kumbe ni tapeli.
Ok sawa... Kuna muda nilijistukia kwamba nipo mbali na mada.Mkuu huko umefika mbali au nje ya box, mada inahusu vitu vidogo ambayo mtu huwa navyo na hupelekea kujulikana personality yake
Mkuu kwani kuna aina ngapi za Mikanda, na Mikanda ipi huashiria tabia au aina ya mtuNa mkanda wa kiunoni.