wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Haya ndiyo mawazo ya wasomi wetu.Too extreme measures. Haziwezekani hizo options zote.
1. Unrealistic option. Kubadilisha bajeti ni kitu cha ajabu ambacho kitasababisha panic na uchumi kuyumba zaidi.
2. Austerity measures kwa Tanzania bado haziwezi kuleta pesa ya maana sana. Kwa kiwango cha kupanda kwa bei kilichopo, hii njia haina msaada.
3. Hakuna pesa za serikali zilizotumika kwenye Royal Tour. Ni pesa za matajiri wachache walijichanga wakampa ufadhili mama ili atengeneze hiyo movie yake na Peter.
Au.
Hii angalau. Japo haitashusha bei ya kila kitu. Kuna kaunafuu kataonekana lakini inflation bado itakuwa juu kwa sasa mpaka Urusi na Ukraine watakapokubaliana kuishi kwa urafiki.