Vitu vilivyopanda bei chini ya Uongozi wa Rais Samia

Haya ndiyo mawazo ya wasomi wetu.
 
2025 wala si mbali, wananchi tutakuwa na jambo letu kama CCM hawatoiba kura zetu....this is too much now. Wananchi tunataka tutatuliwe masuala yetu nyeti eti tunalazimishwa kuangalia na kuishangilia Royal Tour, why?
Wananchi gani unaowazungumzia?!
Kama ni wadanganyika basi sahau
 
Ream paper
#Tumepigwa na kitu kizito sana chenye ncha kali kichwani...
 
Sidhani hata kuhusu uchumi chochote anajua.
 
Mwigulu anaamini watz wote wanakipato SAwa na chake so watamudu tu hata zikipanda bei
 
Hata yeye anajua kuwa akili yake imefika mwisho wa kutafakari, kama hajui hilo basi atakuwa na tatizo kubwa zaidi.
 
Njia ya uhakika ni kupunguza kodi kwenye mafuta na hii itasaidia bidhaa nyingi kushuka bei na waondoe kodi mpya walizoweka ila tofauti na hapo tutaimba ngojera tu
Utegemezi wauchumi wa Tanzania siyo kwenye mafuta tu. Tukumbuke kuwa vitu vingine kama vifaa vya ujenzi na mafuta ya kula vilianza kupanda mwanzoni kabisa mara tu mama alipoingia madarakani. Kupanda kwa bei ya mafuta kumeanza pale Urusi ilipoivamia Ukraine.

Kwa hali ilipofikia, hakuna shortcut ya uhakika itakayoleta suluhu ya hili tatizo. Serikali ianze kutafuta njia za kukabiliana na kiwango kikubwa cha kushuka dhamani ya Shilingi (RECORD INFLATION).
 
Njia ya uhakika ni kupunguza kodi kwenye mafuta na hii itasaidia bidhaa nyingi kushuka bei na waondoe kodi mpya walizoweka ila tofauti na hapo tutaimba ngojera tu
Bidhaa hazitashuka bei bila kuwakazia wafanyabiashara na kuwa serious na hali ya uchumi!

Mama anashabikia kila kitu kitapanda ila hana initiatives zozote yani kakalia uvivu anataka kina mwigulu ndio wamfanyie kila kitu unategemea kuna unafuu hapo?
 
Hukufuatilia hoja ya dharura bungeni!?
 
Serikali si ipo busy na kukumbatia Oligarchs wa taifa, Rostam, Kikwete na GSM na vibaraka wao ndio waliopachikwa kwenye system ili kurahisisha ukwepaji kodi na kuhodhi maeneo na ufisadi wa kukwapua mamilion!

Kifupi tusitarajie miujiza ndani ya miaka hii mitao sababu maza ni kama rubber stamp tu ila michongo yote kuna one man behind all this bullshit! Yeye yupo kuidhinisha tu uhuni utekelezwe na wala hajali!
 
Kwa sasa tutafute utatuzi wa sasa ili tupange vya mbele najua kama kuna
Bidhaa hazitashuka bei bila kuwakazia wafanyabiashara na kuwa serious na hali ya uchumi!

Mama anashabikia kila kitu kitapanda ila hana initiatives zozote yani kakalia uvivu anataka kina mwigulu ndio wamfanyie kila kitu unategemea kuna unafuu hapo?
Ila mkuu mafuta inabidi yashushwe bei na waondoe kodi mpya kuna kodi nyingi mpya wanea zisha kimya kimya
 
Kwa sasa tutafute utatuzi wa sasa ili tupange vya mbele najua kama kuna

Ila mkuu mafuta inabidi yashushwe bei na waondoe kodi mpya kuna kodi nyingi mpya wanea zisha kimya kimya
mafuta yaachwe na VAT tu hizo tozo zingine waondoe tu
 
2025 wala si mbali, wananchi tutakuwa na jambo letu kama CCM hawatoiba kura zetu....this is too much now. Wananchi tunataka tutatuliwe masuala yetu nyeti eti tunalazimishwa kuangalia na kuishangilia Royal Tour, why?
Hata yeye ameshaelekea kibla tayari.

Sioni akigombea. kwa sasa anafanya kwa sababu ya chama chake.
 
Weka ushahidi kwamba Samia kachangiwa Royal tour, tuache uhuni hilo wazo lake mwenyewe anakwama wapi kutetea hoja kama hilo jambo lina tija mpaka adharirishe Ikulu na urais, kwa hip tuna raid omba omba au takrima?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…