Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Umekaa uingereza ya mbande wewe sio UKUingereza hawazungumzii Man U, Liverpool, Newcastle, Aston Villa tangu asubuhi mpaka jioni.
Nimeishi huko.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekaa uingereza ya mbande wewe sio UKUingereza hawazungumzii Man U, Liverpool, Newcastle, Aston Villa tangu asubuhi mpaka jioni.
Nimeishi huko.
Uingereza hawazungumzii Man U, Liverpool, Newcastle, Aston Villa tangu asubuhi mpaka jioni.
Nimeishi huko.
Hajui kitu huyo analopoka tu![]()
England’s Euro 2024 semi-final win is most-watched programme this year
More than 20m tune in for victory over Netherlands as broadcasters hope to surpass 30m mark on Sunday for finalwww.theguardian.com
Mwaka huu most watched TV programme on TV semi final England v Netherlands (watched by 20.4 million people).
![]()
Election TV ratings: BBC is clear winner but Channel 4 doubles 2019 audience
BBC reached audience of 4.2 million for exit poll reveal and analysis between 10pm and 11pm.pressgazette.co.uk
Siku ya uchaguzi wao accumulation ya TV zote watu waliokuwa wanaangalia ni 7.3 million. Na Election debate ilikuwa na 3.2 million views
![]()
Gary Lineker went public with Match of the Day viewing figures before TV snub
Match of the Day will continue to be broadcast on the BBC until at least 2025 after rival television companies decided against bidding for Premier League rightswww.mirror.co.uk
Match of the day ambayo inaonyeshwa jumamosi usiku (saa nne) muda ambao vijana na watu wengi wanaenda night out inaangaliwa na 4 million people kila week kwa hao waliopo nyumbani tu.
Nenda kutafute talksports radio siku nzima mpira (ukitaka kucheka itafute leo baada ya premiership games, usikie povu la mashabiki hasa wa team zitakazo fungwa). Au ingia kwenye social media zao uone mapovu huko hasa leo jioni.
Ushabiki wa mpira uingereza ni balaa watu ninao wajua mimi mida hii wanajipanga kuelekea pubs na hao wabongo tu.
KWa hiyo unaona hisani sio ? Kujengewa barabara ujinga ni mzigoYaani wewe unataka kutwa tuongelee siasa tu kisa hobi yako!?..sisi hatukua na nyumba wala gari,leo tunavyo,usafiri mtwara-arusha barabara ilikua vumbi,leo lami, sekondari kibao watoto wanasoma,we unataka tusapoti chama chako cha kuvaa kombati kiangazi na masika!?..hilo lenu,pambaneni nalo
Ili uweze kupiga hatua ujanja ni kufanya kazi kwa bidii, haya mengine ni siasa za kimaskini, hayana ukweli wowote.1. YANGA NA SIMBA - Ni burudani iliyogeuka kuwa sumu, inapewa umakini mkubwa sana kuzidi mambo ya kitaifa, ndio maana ligi ikisimama huwa ni ngumu kuzima skendo nzito,
2. Kutumia kiswahili shuleni - Kama taifa tumeshaambulia aibu kibao kuanzia kwa Mawaziri, Marais, wakalimani, n.k. wenye PHD zao, wanapata ugumu Kuelewa, kujieleza, kuchangia mawazo, n.k. English ni lugha ya kimataifa ni lazima watoto wafundishwa kuanzia shule ya msingi tena ikibidi waletwe wakenya maana english medium kibao waalim wa kiingereza lugha inawapa shida wanajua kufundishia ubaoni pekee, Hali hii imefanya watanzania wengi kuogopa kutoka nje ya nchi, Wakenya na wahindi wanapiga pesa ndefu kwenye biashara za kimataifa kwa maloghafi za Tanzania, n.k.
3. Ulafi- mfano mdogo tu Tanzania ni nchi yenye pato dogo kitaifa, wananchi wanajikamua kulipa kodi lets say imefika bilioni 1, serikali inanunua magari matatu vx michuma ya kisasa, Bajeti hio inaweza kununua Hilux 20 mpya imara ila ukitoa hayo mawazo wanakimbilia Kujitetea kwamba "Mnataka tutembelee baiskeli ?" Barabara zetu sehemu nyingi ni moja inatumika na magari yote, ajabu ni kwamba kiongozi anataka attention kwa kusimamisha magari yote lisaa zima ili aonekane, ni ubinafsi !!
4. Uchawa
Soma Pia: Ningekuwa Rais ningefanya mambo haya muhimu zaidi
Umaskini wetu ni uvivu wetu hivi vingine ni visingizio tu.Plain sailing? dont you know mattizo mengi yanasababishwa na viongozi wetu.
Unamlaumu mtu ku navigate maisha yake kwenye mazingira yasiyowezekana kuwa navigated!?
Unalinganisha UK na Tanzania!? Wale ni Nchi ya dunia ya kwanza, TZ bado tunajitafuta, na Serikali ndio mdau namba moja wa kuweka mazingira bora kwa wananchi wake kujiajiri.
Bajeti ambayo inapaswa kuwekezwa kwenye Kilimo, viwanda, elimu na Afya, inaishia kununulia Magari ya gharama! kanunue hayo magari UK uone kama utachukua round Ofisin.
Itoshe kusema
1. simba na yanga ni cancer ya taifa. na hili lina jidhihirisha kwa vijana kutumia muda mrefu kujadili usimba na uyanga
2. Kiswahili ni lugha inayodumaza thinking capacity ya waongeaji, ndio maana nchi nyingi zinazo tumia lugha ya kiingereza kama lugha yao namba moja, wananchi wake wanaonekana kujielewa.
Uvivu wa Nani ?Umaskini wetu ni uvivu wetu hivi vingine ni visingizio tu.
Namba 2 umeandika ujinga.unaandaliwa kuja kuwatumikia watu wanaojua kiswahili lakini wewe umeandaliwa kwa lugha ya kiingereza.utawezaje kuwahudumia vizuri?anayetaka kwenda kufanya kazi nchi fulani anatakiwa ajifunze lugha ya wenyeji.ni ujinga lugha ya kufundishia kuwa kiingereza wakati sisi sio waingereza. Sasa wew umeandika Nini? Dunia inahitaji Lugha Moja TU Dunia kuwa Kijiji Lugha Moja.
Shida ya huyo uliyemjibu yuko na narrow view ya namna uchumi unvyojengwa! Hafahamu ushiriki wa watu katika maendeleo.Uvivu wa Nani ?
- Hivi unaweza kumuita mkulima ni mvivu wakati amelima na serikali ndio imeshindwa kutafuta masoko ?
- Hivi unaweza kumuita mtu aliyehitimu utabibu aliyepo mataani eti hana kazi wakati tunahitahi watabibu (hawatoshi) na tumetumia gharama za kutosha kuwasomesha ?
- Hivi unaweza kumuita msanii ni mvivu wakati anakesha kila siku kutunga nyimbo zinazopendwa na UMMA lakini anaishia kushindwa kupata ujira wowote kutokana na kwamba watu hawana buying power kutokana na kwamba watumishi tuliowapa kazi ya kutunga sera wameshindwa kazi ?
Uchumi Mamboleo; Timu haijengwi na Washambuliaji Pekee
Kumetokea Kasumba ya Watengeneza Sera kuwa Wauza Sura na Wapiga Brah Brah; Kama vile walivyo wapiga ramli wanatafuta mchawi kwa kuwaambia wadau makosa ni yao kwa kutokufanikiwa... Wanasema kila kitu ni Biashara kana kwamba vingine vyote havina maana; Yaani hata Timu sababu Mfungaji ndio...www.jamiiforums.com
Kwenye maofisi,mashule,vyuo na vijiwe nchini Uingereza hawana ujuha wa kuongelea mpira wa miguu tangu asubuhi mpaka jioni/usiku.![]()
England’s Euro 2024 semi-final win is most-watched programme this year
More than 20m tune in for victory over Netherlands as broadcasters hope to surpass 30m mark on Sunday for finalwww.theguardian.com
Mwaka huu most watched TV programme on TV semi final England v Netherlands (watched by 20.4 million people).
![]()
Election TV ratings: BBC is clear winner but Channel 4 doubles 2019 audience
BBC reached audience of 4.2 million for exit poll reveal and analysis between 10pm and 11pm.pressgazette.co.uk
Siku ya uchaguzi wao accumulation ya TV zote watu waliokuwa wanaangalia ni 7.3 million. Na Election debate ilikuwa na 3.2 million views
![]()
Lowest turnout in UK general election since universal suffrage, report shows
IPPR thinktank finds that only 52% of the British adult population cast their ballots on 4 Julyamp.theguardian.com
Uchaguzi ulioisha ni nusu tu ya watu wenye sifa ya kupiga kura ndio waliojitokeza.
![]()
Gary Lineker went public with Match of the Day viewing figures before TV snub
Match of the Day will continue to be broadcast on the BBC until at least 2025 after rival television companies decided against bidding for Premier League rightswww.mirror.co.uk
Match of the day ambayo inaonyeshwa jumamosi usiku (saa nne) muda ambao vijana na watu wengi wanaenda night out inaangaliwa na 4 million people kila week kwa hao waliopo nyumbani tu.
Nenda kutafute talksports radio siku nzima mpira (ukitaka kucheka itafute leo baada ya premiership games, usikie povu la mashabiki hasa wa team zitakazo fungwa). Au ingia kwenye social media zao uone mapovu huko hasa leo jioni.
Ushabiki wa mpira uingereza ni balaa watu ninao wajua mimi mida hii wanajipanga kuelekea pubs na hao wabongo tu.
Sawa mkamaria wa mpira wa miguu.Umekaa uingereza ya mbande wewe sio UK
Ni wapi hapa Tanzania watu huzungumza mpira asubuhi hadi jioni?Uingereza hawazungumzii Man U, Liverpool, Newcastle, Aston Villa tangu asubuhi mpaka jioni.
Nimeishi huko.
Mimi ni mfanyaji wa kilimo na biashara ya korosho na ufuta huko Kusini, (Kuanzia Mkuranga, Rufiji mpaka Newala).Ni wapi hapa Tanzania watu huzungumza mpira asubuhi hadi jioni?
Hayo mazao unayonunua anakua amewalimia nani?Mimi ni mfanyaji wa kilimo na biashara ya korosho na ufuta huko Kusini, (Kuanzia Mkuranga, Rufiji mpaka Newala).
Yaani unasimamia mavuno au manunuzi,unasikia tangu asubuhi watu wanaongela mpira wa miguu mpaka jua linazama.
UCHAWA NI NAMBA MOJA, UTAKUTA WAGANGA WAKUU, MAAFISA ELIMU WA WILAYA NA MIKOA NI MACHAWA HASWA1. YANGA NA SIMBA - Ni burudani iliyogeuka kuwa sumu, inapewa umakini mkubwa sana kuzidi mambo ya kitaifa, ndio maana ligi ikisimama huwa ni ngumu kuzima skendo nzito, Watu wanajua kikosi kizima lakini hawajui chochote kuhusu vifurishi vya bima.