Vitu vinatukwamisha Taifa kusonga mbele, bali yakipungua mambo haya Tanzania ingekuwa tupo mbali mno

Vitu vinatukwamisha Taifa kusonga mbele, bali yakipungua mambo haya Tanzania ingekuwa tupo mbali mno

Hayo mazao unayonunua anakua amewalimia nani?

Hivi kwanini mnatamani kila mtu awaze mnavyowaza nyinyi?

Mtu akizungumza mpira huku anafanya shughuli zake, tatizo linakua wapi?
Akhsante sana, umekuja nilipokuwa napataka kwa swali hili la "Mtu akizungumza mpira huku anafanya shughuli zake, tatizo linakua wapi?".

Jibu lake ni kama ifuatavyo.
Kwa mujibu wa taratibu za kazi yangu, nimepanga muda wa kukamilika kuwa saa nne.
Wao wanapokuwa wanabishana kuhusu mpira wa miguu, kwa kuongea huku umesimama na kuchezesha mikono, miguu na kichwa, maana yake muda wa kuimaliza ile kazi ya saa nne utaongezeka kwani muda mwingine utapotea kwa kutumia mikono, miguu na kichwa kuonyesha kwa vitendo namna mpira ulivyokuwa au ulivyo.

Ninalazimika kufukuza watu wengi kila leo na kunilazimu kuleta watu toka mbali na hapo ninapofanyia shughuli zangu kitu kinachopelekea kuwalipa kiwango cha chini kinachopelekea ile "multiplier effects" na "money circulation" kuwa ndogo.

Msimu ujao wa ununuzi korosho nina mpango wa kutembea na "hidden camera" inayorekodi live kila tukio na muda wake linapotokea.
 
Vipi kuhusu Manchester United, Manchester City, Chelsea, Arsenal n.k kule Uingereza?
kuna muda kuna kuwa na dabi kali sana pale uingereza lakini huwa sisikii kelele kama siku za simba na yanga
 
Kwenye maofisi,mashule,vyuo na vijiwe nchini Uingereza hawana ujuha wa kuongelea mpira wa miguu tangu asubuhi mpaka jioni/usiku.

Kuangalia TV programu ya saa mbili haiwezi halalisha kuwq wanatumia muda mwingi kwenye kujadili mpira wa miguu.

View: https://m.facebook.com/watch/?v=998709631582272&vanity=ThisMorning

Tafuta habari za siku England inacheza qualification game midweek nje nchi au away game za champions league ya team zinazo husika. Uone idadi ya watu wanao call in sick ili waende kutazama mpira team zao zilipo.
 
nakuunga mkono kwenye simba na yanga maana nimewahi kuwaambia wanangu kuwa hii simba na yanga ina wabrain wash wasahau kuhusu nchi yao walinipinga vibaya sana wengine kidogo tuzichape
Kweli wewe ndiye hamnazo. Ulitaka uzichape na madogo zako wa miaka 5 na sita kwa sababu ya simba na yanga?
 
Natamani atokee kiongozi wa kuzidhoofisha Simba na Yanga na baada ya miaka kadhaa kuzipoteza kabsa kwenye ramani ya soka maana mpaka watoto wanarithi ujinga wa Simba na Yanga.
 
Asante mkuu,ila hii nchi inatia aibu sana...maji tuu wameshindwa kunywesha watu ila ma v8 wanayo mpaka wenyeviti wa vitongoji.
 
View: https://m.facebook.com/watch/?v=998709631582272&vanity=ThisMorning

Tafuta habari za siku England inacheza qualification game midweek nje nchi au away game za champions league ya team zinazo husika. Uone idadi ya watu wanao call in sick ili waende kutazama mpira team zao zilipo.

Unaniambiaje kutafuta habari wakati mimi nimeishi England na kufanya kazi huko na kushuhudia uhalisia wa maisha yao!!??

Leo unanukuu vyombo vya habari vya England wakishuhudia utaifa wao, lakini kesho utakuja na uzi kuonyesha jinsi vyombo vya habari vya England visivyo sahihi na taarifa zao!!!

Kipi ni kipi!!??
 
Issue sio wewe kuishi England au la.

Kuishi England sio big deal kuna watanzania si ajabu zaidi ya łąki moja wanaoishi England; na maelfu wengine wataenda.

Swala ni wewe kusema wazungu hawana habari za mpira maofisini, nimekupa habari inayosema watu wanaotegemewa kutokwenda kazini siku inayofuata kisa kuangalia mpira. Na kukupa challenge ya kutafuta takwimu ya wewe mwenyewe kujionea watu ambao wapo tayari kupiga simu ya kutokwenda kazini ili wakaangilie.

Ofisi moja uliyofanya kazi huko England, sio takwimu za nchi.
 
England imepiga hatua kubwa sana ya maendeleo, it is the First world country, unailinganishaje na TZ ambayo huduma za Afya, elimu, kilimo, miundombinu ya barabara, maji etc bado ni kitendawili? ( Watu hawafanyi kazi kabisa)

Watu ni maskini wa kutupwa. " tunahitaji kufanya kazi kwa bidii, ushabiki na vitu vingine viwe na muda wake, sio kila siku asubuhi hadi jioni. uzalishaji wa mali unapungua na makusanyo ya kodi yanakuwa kidogo.

Wenzetu wameshafanya kazi kubwa kufika pale walipo, tusijifananishe nao kwa namna yoyote.

Ni ukweli usio pingika watanzania ni wavivu, moja ya chanzo cha uvivu tunaojadili hapa ndio " Ubishani wa mpira hasa Simba na Yanga"

Mtu anayebisha kuwa hizi timu hazisababishi watu kitofanya kazi kwa sababu ya kubishana anakuwa ameamua tu kutetea uvivu wa watu wetu au anaishi nje ya Nchi. hivyo haoni yanayorndelea.
 
Kwasasa uchawa ni donda ndugu Tanzania kuliko hata hizo Simba na yanga.
 
Kwasasa uchawa ni donda ndugu Tanzania kuliko hata hizo Simba na yanga.
Uchawa unagusa population ndogo sana compared to simba na yanga! na hata hao machawa wengi wanakuwa wamejiajiri au kuajiriwa.

Ila ubishani wa simba na yanga, una affect tabaka kubwa sana hasa la low income earner.

Watu wanaamka asubuhi anaemda kijiweni kumjadili YUSUFU KAGOMA, hadi siku inaisha.

Tunasafari ndefu sana ya kupata maendeleo
 
Plain sailing? dont you know mattizo mengi yanasababishwa na viongozi wetu.

Unamlaumu mtu ku navigate maisha yake kwenye mazingira yasiyowezekana kuwa navigated!?

Unalinganisha UK na Tanzania!? Wale ni Nchi ya dunia ya kwanza, TZ bado tunajitafuta, na Serikali ndio mdau namba moja wa kuweka mazingira bora kwa wananchi wake kujiajiri.

Bajeti ambayo inapaswa kuwekezwa kwenye Kilimo, viwanda, elimu na Afya, inaishia kununulia Magari ya gharama! kanunue hayo magari UK uone kama utachukua round Ofisin.

Itoshe kusema
1. simba na yanga ni cancer ya taifa. na hili lina jidhihirisha kwa vijana kutumia muda mrefu kujadili usimba na uyanga
2. Kiswahili ni lugha inayodumaza thinking capacity ya waongeaji, ndio maana nchi nyingi zinazo tumia lugha ya kiingereza kama lugha yao namba moja, wananchi wake wanaonekana kujielewa.
Ukiona mtu hajafanikiwa na analaumu wengine ama mazingira yanayomzunguka huyo ana shida. Kufeli au kufanikiwa kuko juu yako mwenyewe. Si serikali, si wazazi, si ndugu, si jamaa, sio shule n.k

Watu waliofanikiwa, wamepambana, wanapambana kila siku. Huamka alfajiri hulala late nights, wanasocialize sana tu wanatafuta connections kila siku, wanachukua risks n.k

Kama taifa nadhani inabidi tucopy ule msemo wa kabla hujailaumu nchi yako ujiulize wewe umelifanyia nini taifa. Wakati tunalalamika, wapo watu kama kina magufuli, Lissu, kabudi, mkapa, maalim seif, zitto (ukitaja wanasiasa tu) wametoka vijijini huko all the way to the top. Wamekomaa na pia ni mashabiki wa simba na yanga😂
 
1. YANGA NA SIMBA - Ni burudani iliyogeuka kuwa sumu, inapewa umakini mkubwa sana kuzidi mambo ya kitaifa, ndio maana ligi ikisimama huwa ni ngumu kuzima skendo nzito, Watu wanajua kikosi kizima lakini hawajui chochote kuhusu vifurishi vya bima

Sababu kubwa ina 🤑🤑🤑
 
Uchawa unagusa population ndogo sana compared to simba na yanga! na hata hao machawa wengi wanakuwa wamejiajiri au kuajiriwa.

Ila ubishani wa simba na yanga, una affect tabaka kubwa sana hasa la low income earner.

Watu wanaamka asubuhi anaemda kijiweni kumjadili YUSUFU KAGOMA, hadi siku inaisha.

Tunasafari ndefu sana ya kupata maendeleo
Kwaiyo unataka wajadili kitu gani? Hivi athari za uchawa walizoleta kina maulidi kitenge, zembwera na mashekhe kadhaa kwenye suala la DP world unawezafananisha na athari za Simba na yanga?
 
Kwaiyo unataka wajadili kitu gani? Hivi athari za uchawa walizoleta kina maulidi kitenge, zembwera na mashekhe kadhaa kwenye suala la DP world unawezafananisha na athari za Simba na yanga?
Nimekuelewa!

Ingawa hii ni discussion nyingine ambayo unahusu mfumo moja kwa moja, na sio uvivu wa watu kulingana na post yangu.
 
England imepiga hatua kubwa sana ya maendeleo, it is the First world country, unailinganishaje na TZ ambayo huduma za Afya, elimu, kilimo, miundombinu ya barabara, maji etc bado ni kitendawili? ( Watu hawafanyi kazi kabisa)

Watu ni maskini wa kutupwa. " tunahitaji kufanya kazi kwa bidii, ushabiki na vitu vingine viwe na muda wake, sio kila siku asubuhi hadi jioni. uzalishaji wa mali unapungua na makusanyo ya kodi yanakuwa kidogo.

Wenzetu wameshafanya kazi kubwa kufika pale walipo, tusijifananishe nao kwa namna yoyote.

Ni ukweli usio pingika watanzania ni wavivu, moja ya chanzo cha uvivu tunaojadili hapa ndio " Ubishani wa mpira hasa Simba na Yanga"

Mtu anayebisha kuwa hizi timu hazisababishi watu kitofanya kazi kwa sababu ya kubishana anakuwa ameamua tu kutetea uvivu wa watu wetu au anaishi nje ya Nchi. hivyo haoni yanayorndelea.
Mkuu,

Hatuwezi kiwa taifa lisilo na hobby/ushabiki fulani. Hata familia isiyo na hobby huwa ina matatizo mengi.

Ndiyo maana wakati wengine wakizungumzia simba na yanga, wengine hukaa kuanzia saa 1 mpaka saa 6 wanaangalia maigizo Azam TV, wengine wako netflix usiku kucha hasa hiki kizazi kipya, wengine wako bar wanalewa usiku kucha wengine wanabet n.k

Sasa ukilaumu simba na yanga tu utakuwa mtu wa ajabu. Ubaya ni kiwa kila mtu ana hobby yake ukiona mtu hana hobby maana yake ubongo wake ni mdogo sana, big brains wanafanya mambo mengi tu ya hovyo na maisha yao yanakwenda.
 
Back
Top Bottom