Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Halafu kuna mijitu mingine yenyewe haijilinganishi, ila kazi yao kubwa ni kuwalinganisha wenzao. Mo na Bhakheresa nani tajiri, watabishana hapo masaa manne. Wakimaliza wanahamia kwa Mondi na KibaNamba moja iwekewe lamination ,kujilinganisha na mtu utapoteza mda tu kila mtu ana race ana uwezo wake ....pambana kwa nafasi yako
Ukiona hivyo umeelewekaaNimegundua vijana ama watanzania wengi sana ni wachangiaji wazuri kwenye umbea na sio mada zenye tija.
Uzi umetizamwa na watu 400+ lakini waliocoment hawafiki hata 20. So sad
Serikali ikataze kutafsiri moviesSiku hizi ndio nawaonea huruma sana Watanzania. Mtu anabaki akiangalia hizo series zilizotafsiriwa kwa Kiswahili kuanzia asubuhi mpaka usiku, siku imeisha hiyo.
Wana laanaNimegundua vijana ama watanzania wengi sana ni wachangiaji wazuri kwenye umbea na sio mada zenye tija.
Uzi umetizamwa na watu 400+ lakini waliocoment hawafiki hata 20. So sad