Vitu vinavyokupotezea muda sana katika maisha yako

Namba moja iwekewe lamination ,kujilinganisha na mtu utapoteza mda tu kila mtu ana race ana uwezo wake ....pambana kwa nafasi yako
 
Halafu kuna mijitu mingine yenyewe haijilinganishi, ila kazi yao kubwa ni kuwalinganisha wenzao. Mo na Bhakheresa nani tajiri, watabishana hapo masaa manne. Wakimaliza wanahamia kwa Mondi na Kiba
 
Back
Top Bottom