Vitu viwili vinanichanganya katika ukristo na uislam juu ya urafiki wa Yesu na Martha na Maria na vifo vya watoto wa Mtume Mohamed nisaidieni wanangu

Hii kashfa uliyotoa kwa Masihi wa Bwana ni kubwa sana. Hii dhambi ya kukufuru, unapaswa kutubia haraka sana kabla hujaharibikiwa.
 
Nishawishi niamini unachokiamini nimwache Yesu au Mohammad na Imani yao.
Tatizo ninyi msiofungamana na dini hizi mbili mnazikosoa hewani tu za kwenu hazijukikani.
Kwa mfano Mimi nikiamini nikifa nakwenda peponi wewe unaumia Nini? Au nikiamini napaswa kutenda mema wewe unapata hasara gani?
Au basi Mimi nikiamini baada ya maisha haya Kuna maisha mengine Tena wewe unayeamini hakuna kitu kama hicho unapata hasara gani?
 
Kwa sasa unajiona umewin kw sababu ya pumzi alokujaalia Muumba wako. Subiri utakapofumba jicho utayaona na utalipwa. Wakati mwengine hata kama kilevi kimekuzidi lkn ifike pahala utumie akili yako alokujaalia Mungu vizur na uheshimu dini za wenzako.
Mkishindwa kujibu hoja mnakuja na vitisho.
Kwaiyo Allah alituumba hili atuadhibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…