Vitu viwili vinanichanganya katika ukristo na uislam juu ya urafiki wa Yesu na Martha na Maria na vifo vya watoto wa Mtume Mohamed nisaidieni wanangu

Vitu viwili vinanichanganya katika ukristo na uislam juu ya urafiki wa Yesu na Martha na Maria na vifo vya watoto wa Mtume Mohamed nisaidieni wanangu

Achana nayo hayo. Hizi ni soga za kale za wayahudi na waarabu.

Halafu Yesu alikufa akiwa na miaka 33, lkn hakuna hata mstari.mmoja unaozungumzia maisha yake ya kuchepuka na msichana ama mwanamke yeyote. Ndiyo kusema yeye alikuwa hapati "kiu"? Au alikuwa ni muumini wa mkono mmoja a.k.a punyeto?

Naye mtume Mohammad S A.W ktk umri wa miaka 25 tu akajitwika lishangazi la miaka 45. Na mpk kufikia uamuzi wa kujitwika jimama hilo maana yake ni kwamba alianza kula uroda akiwa mdogo sana, probably miaka 15.

Hivyo, mwanzilishi wa kuoa mishangazi ni mtume Mohammad S.A.W.
Hii kashfa uliyotoa kwa Masihi wa Bwana ni kubwa sana. Hii dhambi ya kukufuru, unapaswa kutubia haraka sana kabla hujaharibikiwa.
 
Usiinifanye zwazwa. Ukishaingia si umeamini kila utopolo. Utahojije wakati ushaingizwa mkenge kama kubadilishwa jina, kuaminishwa kila ngano, na hata kuharibiwa (brainwash) kiakili kuwa tayari kufia imani au kuamini ukishaoza utaenda peponi wakati mkizikana mnamwambia mfu kuwa hii ni makazi yake ya milele? Tumia common sense na siyo uncomon sense mwanangu kabla ya kuliwa ukijiona. Ni ushauri tu.
Nishawishi niamini unachokiamini nimwache Yesu au Mohammad na Imani yao.
Tatizo ninyi msiofungamana na dini hizi mbili mnazikosoa hewani tu za kwenu hazijukikani.
Kwa mfano Mimi nikiamini nikifa nakwenda peponi wewe unaumia Nini? Au nikiamini napaswa kutenda mema wewe unapata hasara gani?
Au basi Mimi nikiamini baada ya maisha haya Kuna maisha mengine Tena wewe unayeamini hakuna kitu kama hicho unapata hasara gani?
 
Kwa sasa unajiona umewin kw sababu ya pumzi alokujaalia Muumba wako. Subiri utakapofumba jicho utayaona na utalipwa. Wakati mwengine hata kama kilevi kimekuzidi lkn ifike pahala utumie akili yako alokujaalia Mungu vizur na uheshimu dini za wenzako.
Mkishindwa kujibu hoja mnakuja na vitisho.
Kwaiyo Allah alituumba hili atuadhibu?
 
Back
Top Bottom