Vitu vya ajabu ambavyo ulijua kwamba havikubaliki kufanya, lakini ulifanya bila kujua! Ulijua vipi?

Vitu vya ajabu ambavyo ulijua kwamba havikubaliki kufanya, lakini ulifanya bila kujua! Ulijua vipi?

LoneJr

Senior Member
Joined
May 18, 2024
Posts
169
Reaction score
247
Habari za muda wakuu wa Jf....


Binafsi , nakumbuka nikiwa 821 KJ ikiwa ni jumamosi,[ siku ya bonanza ] hapo Niko full-stim ''Mwamba ni Mimi'' basi imefika muda wa kuhakikiwa turudi mahangani kupumzika....nikawa naona wananizingua namba tunarudiarudia nikaona msinichezee... Nikafungua zipu katikati ya umati nikashusha kojo 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 daah! Sitosahau asee
Nilijikuta tu asubuhi Niko ndani ofisi ya karani 😢 😢 😢
 

Attachments

  • IMG-20241219-WA0003.jpg
    IMG-20241219-WA0003.jpg
    143 KB · Views: 2
Back
Top Bottom