Vitu vya ajabu ambavyo ulijua kwamba havikubaliki kufanya, lakini ulifanya bila kujua! Ulijua vipi?

LoneJr

Senior Member
Joined
May 18, 2024
Posts
169
Reaction score
247
Habari za muda wakuu wa Jf....


Binafsi , nakumbuka nikiwa 821 KJ ikiwa ni jumamosi,[ siku ya bonanza ] hapo Niko full-stim ''Mwamba ni Mimi'' basi imefika muda wa kuhakikiwa turudi mahangani kupumzika....nikawa naona wananizingua namba tunarudiarudia nikaona msinichezee... Nikafungua zipu katikati ya umati nikashusha kojo πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ daah! Sitosahau asee
Nilijikuta tu asubuhi Niko ndani ofisi ya karani 😒 😒 😒
 

Attachments

  • IMG-20241219-WA0003.jpg
    143 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…