Vitu vya kuepuka kufanya ukiwa unaendesha gari ya Automatic

KIMOMWEMOTORS, In an automatic transmission unaweza kushift gear gari likiwa kwenye motion but first, don't shift gear kutoka Drive (D) to Reverse (R) kabla gari halijawa kwenye complete stop.

Mara nyingi ukikosea bahati mbaya kushift to Reverse wakati gari likiwa kwenye mwendo computer ya gari huwa ina ignore request ya dereva but ikikubali ku engage kwenye motion kubwa you can totaly destroy your transmission.

Secondly, usitumie kushift gear kama option ya ku downshift gari from high speed-Gear options za Drive(D) zinalimit of speed.Mf.L(0-20)km per hr,L2(0-40)km/hr,and then D(0-max speed programmed)km/hr; therefore gari likiwa speed 160km/hr ambayo kwenye ni kama 5th Gear in a manual car alafu ukadown shift ghafla to 1st Gear ambayo kwenye auto inacorrespond na L, its totaly not advisable;but to shift from L to D while in motion you can be ok.
 
KIMOMWEMOTORS, Kwanza lazima tujue why hatupaswi kuweka Neutral kwenye mteremko na ni gear ipi sahihi kushukia nayo mlima in an automatic car.

First, gari linakuwa na uwezekano mkubwa sana wa kupoteza steering wheel control;unapeleka stress kubwa ya kucontrol gari kwenye brake pads hivyo kulika mno na kuoverheat,engine inapokuwa ina run huwa inatoa braking function ambayo inazipunguzia brake shida ya kuoverheat.

Let's say unashuka mlima mkali na L ambayo ni advisable; usitegemee Hilo gari kuvuka speed range ya L hata ukanyage acellerator mpaka chini haito exceed speed 20km/hr hvyo utaona kazi kubwa ya braking imefanywa na engine yenyewe.

And please don't put N ukiwa unaenda down hill kuokoa mafuta,you are going to die na hiyo saving hutoiona
 
KIMOMWEMOTORS, On number 7, Mimi binafsi sishauri mtu kuweka full tank every time kama haendi long journey au kuweka gari garage because linapelekea poor fuel economy-half a tank naona its ok-let's say gari yako ni 60L and IL is equal to 60kg, maana ukijaza full tank kila siku unafanya gari kubeba mizigo ya (kg za gari + kg za abiria + kg za mizigo mingine + 60kg za mafuta) of course tegemea poor economy ukilinganisha na wa half tank.

Kuhusu kupelekea fuel pump ku overheat,kilichokuwa advisable ni kwamba usipendelee kuendeshea reserve fuel, ambapo kwanzia robo tank it's ok
 
My friend unamkosoa mwenzako sio dereva wakati kwa ulichokiandika tu kinatupa mashaka, inabidi tupende kujifunza na kukosoa kwa staha. Na hapana mahali aliposema tusijenge hoja kwa mawazo mbadala, na katika kujadiliana kwetu vyema yeye atajifunza na sisi pia.

Education is an endless process. Period!
 

Hizi mbili za mwisho zinawahusu hata wale ambao gari zao sio automatic. Na kwa gari ambazo zinatumia Diesel, kuacha mafuta yakabaki kidogo sana kwenye tank huwa kunasababisha INJECTOR PUMP kuvuta hewa, na ikishafanya hivyo tatizo lake huwa ni kubwa na ili ulirekebishe, unaweza ukatumia hela inayolingana na hela ya kujazia FULL TANKS za mafuta kama nne au tano hivi. Please take care!
 
Hujui ulichokiandika ndio maana ukakirudia kwangu, wewe utanikosoaje wakati elimu yako ya gearbox hujaiweka hapa?
Ok mimi sio Dereva ni fundi wa Gearbox na sikatai elimu kutolewa hapa hata link nitakuwekea uhakiki, sasa wewe elimu yako ni ipi? Kuja kukosoa au kutuagizia magari?

JF ni bahari lakini kila mada na mahali pake, ungesema unisaidie kuagiza Harrier toka YOKOHAMA inafika kwa bei gani TRA tutaenda pamoja, lakini sio kuitoa gear ya D wakati gari ipo mwendo na blah blah

 
Unatumia neutral gear unapotaka kulisukuma gari lako katika kipindi ambacho engine imezimwa.

Kama gari yako inatembea then ukashift from D to N haitaleta shida kwenye engine au gearbox ila shida itakuja kama utatumia brakes. Gari ikiwa katika N position Brake zitaisha zaidi kuliko ambaye yupo kwenye D position kwa sababu gari inatembea kwa urahisi zaidi ikiwa kwenye N kuliko ikiwa kwenye D
 
Mshana namba moja ni sahihi kabisa. Unapohama from D to N unapunguza flow ya oil katika gearbox hivyo kupelekea wear baina ya parts za gearbox.
Asante lakini nitarejea kwa masahihisho hasa huko kwenye matumizi ya neutral. Kwa mfano hiyo number moja sio kweli
 
Unapobadili gear kwenye automatic transmission wakati gari inatembea components za gearbox kubadili direction rapidly hivyo kupelekea wear ya components hasa torque converter. Ingawa athari hazitaonekana kwa haraka ila lazima itakuja kuzingua. Tofauti na manual ambayo ukibadili hivyo lazima ijibu palepale.
 
chilubi, 1. Ni kweli kwamba oil haisukumwi na gearbox ila inasukumwa na engine. Ila ukae ukijua unaposhift from D to N RPM ya engine lazima ishuke hivyo kupelekea kupungua kwa flow ya oil katika gearbox while speed bado haijapungua. Hivyo lazima tu vitu vitasagika japo hakitakuwa kitendo cha mara moja.

4. Kama watu wawili mpo kwenye speed 100 na mnatakiwa kusimama. Wewe upo kwenye N mwenzio yupo D basi huyo wa kwenye D brake zake hazitaisha haraka ukilinganisha na wewe wa kwenye N. Pia ukitembelea N mteremkoni inaweza kupelekea gari lako kuwa katika stuation ambayo ni uncontrolable.

Pia ABS yako ni mbovu halafu upo kwenye N pia upo speed kubwa halafu ukataka kusimama inaweza kupelekea brakes zako kujam hasa kama una drum brakes.
 
Kuwasha moto kwenye tank la diesel haina tatizo kabisa. Ignition point ya dieseal ni ni kubwa ukilinganisha na petrol. Hata hivyo magari ya sasa ya diesel yana heater hivyo hakuna tatizo.
 
Kuna gear sijawahi zitumia toka nijue kuendesha gari, Neutral, 2 na L. Mimi ni mguu kwenye break hata masaa matatu fresh tu.
Unashauriwa ku engage gear tofauti at least once in a while;Mf.4WD mara nyingi watu wanaoishi kwenye miundombinu bora huwa hawaitumii na hvyo kuipelekea kupata matatizo kwa kutotumika mda mrefu;at least hata maramoja kwa muda mfupi ndani ya mwezi unajitahid ku-engage
 
NO HUU NI UONGO
Toa ushauri wa kweli sio wa kutunga maana hapo haiendani kabisa
Watu wanaacha magari miezi sita na hajawahi tumia hiyo 4WD mpaka mwaka
 
Hata hapa siungi mkono acha mtu afanye anavyoweza, Maofisini wanajaziwa full tank na unapewa safari hawapitii vituo vya binafsi hata siku moja. Hakuna ofisi inajaza robo tank
 
NO HUU NI UONGO
Toa ushauri wa kweli sio wa kutunga maana hapo haiendani kabisa
Watu wanaacha magari miezi sita na hajawahi tumia hiyo 4WD mpaka mwaka
Tafuta maarifa kwa bidii kwanza kaka!
 
Huu uzi ni wa watu wazito sisi wa 2WD ngoja tukae pembeni.
Ila ndugu zangu mnaomiliki mkoko hasa za manual naomba mnisaidie hili swali.

Ukiwa unaendesha gari na upo speed kisha ghafla ukataka kusimama, je ni hatua gani ya kufuata? Kukanyaga clutch kwanza ndio unakanyaga break au kukanyaga break kwanza ndio unakanyaga clutch naombeni jibu.
 
Ukwaju, Tatizo ndugu yangu unakurupuka sana kwenye kujibu hoja, who told you kila mtu anaye comment ni muuza magari? Understand first!
Kama nilisema kila mtu anacomment hapa anauza magari basi nawaomba msamaha
Ila sipendi mtu asiyekuwa na uzoefu akaingilia kazi za wengine, kwani kama ni Dereva au Fundi, au muuza magari tushauriane wote lakini sio member aje aseme gari lisijazwe Full Tank, au Gear ya automatic unaweza ichomoa popote, rudi Post #1 soma vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…