Kama uzito wa full tank upo within maximum load huoni hakutakuwa na tatizo?Ipo hivi Kila gari maximum load yake. Hivyo hata huo uzito wa mafuta full tank ni lazima tu utakuwa within allowable weigh range. Lakini point hapa ni uzito unapozidi kuongezeka kwenye gari the bad the fuel economy gari inakuwa nayo. Ni hivo tu...
Hii haina utofauti sana na wale wanaosema AC inakula mafuta. Actually AC kama AC haitumii mafuta. Ila unapowasha AC maana yake pump ya AC itaanza kufanya kazi na itachukua power from engine hivyo kupelekea kuongezeka kwa engine load. Na engine load ikishaongezeka lazima mafuta yatumike mengi.Kama uzito wa full tank upo within maximum load huoni hakutakuwa na tatizo?
Gari inapokuwa Neutral, mzunguko wa engine ni sawa na ikiwa idle, hata kama uko spidi 200. Kwa sababu gari umeitenganisha na gearbox na kusababisha kurudi kwenye normal state. Ukitaka kuthibitisha hili, weka neutral in whatever speed you are, utaona kuwa RPM inashuka na inakuwa sawa na RPM wakati wa idle. Zile piston mule ndani zinazunguka as if gari haiendi imesimama. Hakuna msagiko labda uwe na oil pump mbovu.1. Ni kweli kwamba oil haisukumwi na gearbox ila inasukumwa na engine. Ila ukae ukijua unaposhift from D to N RPM ya engine lazima ishuke hivyo kupelekea kupungua kwa flow ya oil katika gearbox while speed bado haijapungua. Hivyo lazima tu vitu vitasagika japo hakitakuwa kitendo cha mara moja.
Namba nne yangu inazungumzia ukiwa umesimama kwenye traffic light, kuweka neutral au kuweka D. Sio kuhusu kupiga brake wakati unashuka mlima. May be umekusudia kum quote mtu mwengine4. Kama watu wawili mpo kwenye speed 100 na mnatakiwa kusimama. Wewe upo kwenye N mwenzio yupo D basi huyo wa kwenye D brake zake hazitaisha haraka ukilinganisha na wewe wa kwenye N. Pia ukitembelea N mteremkoni inaweza kupelekea gari lako kuwa katika stuation ambayo ni uncontrolable.
Pia ABS yako ni mbovu halafu upo kwenye N pia upo speed kubwa halafu ukataka kusimama inaweza kupelekea brakes zako kujam hasa kama una drum brakes.
Mbona unataka mwenzako apatwe na majanga πKanyaga clutch then break.
Wanapopima fuel economy, hawapimi na mafuta ya lita moja. Gari linakuwa full tank.Sijui kama ni tatizo au siyo tatizo. Ila inaaffect performance ya engine. Japo siyo kwa kiwango kikubwa. Ila wewe jua tu as long as uzito unaongezeka kwenye gari basi lazima fuel economy izidi kuwa bad.
Hii haina utofauti sana na wale wanaosema AC inakula mafuta. Actually AC kama AC haitumii mafuta. Ila unapowasha AC maana yake pump ya AC itaanza kufanya kazi na itachukua power from engine hivyo kupelekea kuongezeka kwa engine load. Na engine load ikishaongezeka lazima mafuta yatumike mengi.
Yaani mpaka upigaji wa rangi kwenye gari unaaffect fuel economy.
Jamani nikitaka ku UNSUBCRIBE hii Mada nabonyeza wapi? au nisizione coment na Like ya hii Mada nairukaje?Ni kweli mkuu Kuna vitu vingine mtu hata Kama huvijui ila ukitumia logic ya kuzaliwa nayo unaona kabisa Kama ni uongo.
namba 1 unaweza kumdanganya mtu wa kundi namba 4.
Yaani π€£π€£π€£π€£Pengine amemaanisha reverse, kuna wenye haraka, ikiwa bado inaserereka mbele, anatwanga R. Lazima uone gari inashtuka au kugonga ndani ya injini.
π€£π€£π€£Labda kama linabebwa mgongoni ndio litakuwa full tank mda wote π π π
Kuna gear sijawahi zitumia toka nijue kuendesha gari, Neutral, 2 na L. Mimi ni mguu kwenye break hata masaa matatu fresh tu.
Hii hapa tuachieni sie wa "I know my Car"
Labda kama linabebwa mgongoni ndio litakuwa full tank mda wote [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na wewe umegundua Mkuu, yapo mengi labda yupo kibiashara au ...Ha ha ha huyu mleta mada hayupo serious labda
Mkuu swali lako ni la kiweledi sna π42774277, Samahani mkuu! Hilo tank ni after market? Ujazo wake haukuwa calculated kuendana na uwezo wa injini? Kwamba waliposema tank ni 65L hawakuwa wamecalculate uzito wake kulinganisha na uwezo wa injini?
huko nyuma nimeogopa kurudi maana kuna wajuzi wa shuleni wanafundisha muundo wa magari uzito na kujaza mafutaMkuu swali lako ni la kiweledi sna π
Kwa kweli ata mimi nimechoka kimwili na kiakili baada ya kusikia hvyo, nikawaza sana yani kuipenda kote kule physics kumbe yenyewe ilikuwa hainipendi π πhuko nyuma nimeogopa kurudi maana kuna wajuzi wa shuleni wanafundisha muundo wa magari uzito na kujaza mafuta
Gari lolote lina TARE WEIGHT ana GROSS
sasa Kampuni inaktengeneza Tank la mafuta la ujazo wa Gari kuwa ni 65lts bado wanakuruhusu na abiria 12 auamzigo 750kg
wao wanasema ukijaza Full tank utasababisha gari ikose balance yake na matatizo
Ukiweza kuonyesha mahali mtu yoyote kasema gari itakosa balance; utakuwa ume prove you are smart,and we are wrong in this regard.huko nyuma nimeogopa kurudi maana kuna wajuzi wa shuleni wanafundisha muundo wa magari uzito na kujaza mafuta
Gari lolote lina TARE WEIGHT ana GROSS
sasa Kampuni inaktengeneza Tank la mafuta la ujazo wa Gari kuwa ni 65lts bado wanakuruhusu na abiria 12 auamzigo 750kg
wao wanasema ukijaza Full tank utasababisha gari ikose balance yake na matatizo