Vitu vya kuepuka kufanya ukiwa unaendesha gari ya Automatic

1. Kushuka kwenye mteremko gari ikiwa neutral, hii inasababisha kuzuia oil kusambaa na kusababisha msuguano kukosa kilainishi hicho na kupelekea kusagika kwa baadhi ya sehemu.

2. Kukanyaga mafuta kabla ya kubadilisha gear. Hii ni hasa kwa vijana unawasha gari na kuanza kupiga resi, kitendo hicho husababisha msuguano mkali na unaweza kuharibu sehemu za engine.

3. Kubadilisha gear wakati gari bado inatembea, hakikisha unakamata brake kwanza ndipo ubadilishe gear.

4. Kuweka neutral kweye taa nyekundu kwenye taa za barabarani, watu wengi hufanya hivyo ili kusave mafuta lakini kiasi unachosave ni kidogo sana kulinganisha na gharama ya tatizo unaloweza tengeneza, tumia brake ili gari liendelee kuwa kwenye drive mode, madhara hutokea unapoweka na kutoa neutral.

5. Kuweka parking kabla gari halijasimama kabisa. Hakikisha gari limesimama kabisa ndipo unaweka parking.

6. Kuendesha gari kwa speed ya juu kabla ya engine kupata joto, hasa kipindi cha baridi hakikisha engine imepata joto ili kuwezesha oil kusambaa kwenye sehemu zote.

7. Kuacha mafuta yakiwa machache katika tank, tank la mafuta linatakiwa kuwa full au kuwa nusu lakini sio chini kabisa. kuwa full kunasaidia engine na sehemu nyingine kuwa cool.

Imetolewa na Kimomwe Motors (T) Ltd, waagizaji wa magari. 0746267740

View attachment 1263795
Dah....Mkuu ningekushauri ukazanie zaidi kwenye kuagiza magari...lakini kwenye mambo ya ushauri wa kiufundi waachie wataalam...maana unaharibu tu....samahani Mkuu[emoji41]

Sent using Beretta ARX 160
 
1. Kushuka kwenye mteremko gari ikiwa neutral, hii inasababisha kuzuia oil kusambaa na kusababisha msuguano kukosa kilainishi hicho na kupelekea kusagika kwa baadhi ya sehemu.

2. Kukanyaga mafuta kabla ya kubadilisha gear. Hii ni hasa kwa vijana unawasha gari na kuanza kupiga resi, kitendo hicho husababisha msuguano mkali na unaweza kuharibu sehemu za engine.

3. Kubadilisha gear wakati gari bado inatembea, hakikisha unakamata brake kwanza ndipo ubadilishe gear.

4. Kuweka neutral kweye taa nyekundu kwenye taa za barabarani, watu wengi hufanya hivyo ili kusave mafuta lakini kiasi unachosave ni kidogo sana kulinganisha na gharama ya tatizo unaloweza tengeneza, tumia brake ili gari liendelee kuwa kwenye drive mode, madhara hutokea unapoweka na kutoa neutral.

5. Kuweka parking kabla gari halijasimama kabisa. Hakikisha gari limesimama kabisa ndipo unaweka parking.

6. Kuendesha gari kwa speed ya juu kabla ya engine kupata joto, hasa kipindi cha baridi hakikisha engine imepata joto ili kuwezesha oil kusambaa kwenye sehemu zote.

7. Kuacha mafuta yakiwa machache katika tank, tank la mafuta linatakiwa kuwa full au kuwa nusu lakini sio chini kabisa. kuwa full kunasaidia engine na sehemu nyingine kuwa cool.

Imetolewa na Kimomwe Motors (T) Ltd, waagizaji wa magari. 0746267740

View attachment 1263795
How Full Engine petrol inasaidia engine kuwa Cool? Uhmmmm
 
Oya wana eeeh msaaada.
Ni vitu gani muhimu kuangalia unapoenda kuikagua gari yako uliyoinunua japan(be forwad)

Kuna umuhimu wa kwenda na fundi.. Au ukiwa dereva kuna mbinu za kiufund za ukaguzi kabla ya kuipokea gari?

Nahitaji ule utundu au zile key point za kuikagua gari kama ipo vizuur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ya kukagua waachie TBS kupitia EAA
 
1. Kushuka kwenye mteremko gari ikiwa neutral, hii inasababisha kuzuia oil kusambaa na kusababisha msuguano kukosa kilainishi hicho na kupelekea kusagika kwa baadhi ya sehemu.

2. Kukanyaga mafuta kabla ya kubadilisha gear. Hii ni hasa kwa vijana unawasha gari na kuanza kupiga resi, kitendo hicho husababisha msuguano mkali na unaweza kuharibu sehemu za engine.

3. Kubadilisha gear wakati gari bado inatembea, hakikisha unakamata brake kwanza ndipo ubadilishe gear.

4. Kuweka neutral kweye taa nyekundu kwenye taa za barabarani, watu wengi hufanya hivyo ili kusave mafuta lakini kiasi unachosave ni kidogo sana kulinganisha na gharama ya tatizo unaloweza tengeneza, tumia brake ili gari liendelee kuwa kwenye drive mode, madhara hutokea unapoweka na kutoa neutral.

5. Kuweka parking kabla gari halijasimama kabisa. Hakikisha gari limesimama kabisa ndipo unaweka parking.

6. Kuendesha gari kwa speed ya juu kabla ya engine kupata joto, hasa kipindi cha baridi hakikisha engine imepata joto ili kuwezesha oil kusambaa kwenye sehemu zote.

7. Kuacha mafuta yakiwa machache katika tank, tank la mafuta linatakiwa kuwa full au kuwa nusu lakini sio chini kabisa. kuwa full kunasaidia engine na sehemu nyingine kuwa cool.

Imetolewa na Kimomwe Motors (T) Ltd, waagizaji wa magari. 0746267740

View attachment 1263795
Number 3 ni uongo uliopitiliza. Kwamba wewe kila ukitaka kubadili gia bas mpaka gari isimame kabisa ndio ubadili, huu uendeshaji wa wapi?
Nani ulimuona anaendesha hivi?
Au umeona imeandikwa wapi?
 
1. Kushuka kwenye mteremko gari ikiwa neutral, hii inasababisha kuzuia oil kusambaa na kusababisha msuguano kukosa kilainishi hicho na kupelekea kusagika kwa baadhi ya sehemu.

2. Kukanyaga mafuta kabla ya kubadilisha gear. Hii ni hasa kwa vijana unawasha gari na kuanza kupiga resi, kitendo hicho husababisha msuguano mkali na unaweza kuharibu sehemu za engine.

3. Kubadilisha gear wakati gari bado inatembea, hakikisha unakamata brake kwanza ndipo ubadilishe gear.

4. Kuweka neutral kweye taa nyekundu kwenye taa za barabarani, watu wengi hufanya hivyo ili kusave mafuta lakini kiasi unachosave ni kidogo sana kulinganisha na gharama ya tatizo unaloweza tengeneza, tumia brake ili gari liendelee kuwa kwenye drive mode, madhara hutokea unapoweka na kutoa neutral.

5. Kuweka parking kabla gari halijasimama kabisa. Hakikisha gari limesimama kabisa ndipo unaweka parking.

6. Kuendesha gari kwa speed ya juu kabla ya engine kupata joto, hasa kipindi cha baridi hakikisha engine imepata joto ili kuwezesha oil kusambaa kwenye sehemu zote.

7. Kuacha mafuta yakiwa machache katika tank, tank la mafuta linatakiwa kuwa full au kuwa nusu lakini sio chini kabisa. kuwa full kunasaidia engine na sehemu nyingine kuwa cool.

Imetolewa na Kimomwe Motors (T) Ltd, waagizaji wa magari. 0746267740

View attachment 1263795

hiyo namba 4; kuweka Neutral kwenye taa nyekundu ni tatizo? Najua kazi za Neutral ni pamoja na kutumika pale unavyo simama kwa muda mfupi, kwenye jam nk Kinachokatazwa ni kuzima gari kabisa.
nashauri ukasome vizuri

7. Huwezi kusema mafuta yakifika nusu mtu ajazie; ungependekeza mafuta yakifika angalau robo tank...au pengine lita 10 japo inatofautiana kwa gari. Unajua mafuta ni mzigo??
 
Sijaelewa unaposema kubadili gia wakati gari ni automatic, means kitu kinajibadilisha chenyewe
Maana yake ni kua una uwezo wa kubadili kama.D iwe D au D2 maana magari ya automatic yana gear tofauti .mkuu, unaweza kuihamisha manually.
 
3. Kubadilisha gear wakati gari bado inatembea, hakikisha unakamata brake kwanza ndipo ubadilishe gear.
Kwahiyo siruhusiwi kuhama toka L kwenda 2 au 2 kwenda D nikiwa kwenye motion?
4. Kuweka neutral kweye taa nyekundu kwenye taa za barabarani, watu wengi hufanya hivyo ili kusave mafuta lakini kiasi unachosave ni kidogo sana kulinganisha na gharama ya tatizo unaloweza tengeneza, tumia brake ili gari liendelee kuwa kwenye drive mode, madhara hutokea unapoweka na kutoa neutral.
Mafundi wa huko yanakotoka magari wanapingana na wewe, je ni kwamba unatulisha matango pori? Fuatilia hiyo clip kwenye hiyo link👇
 
hiyo namba 4; kuweka Neutral kwenye taa nyekundu ni tatizo? Najua kazi za Neutral ni pamoja na kutumika pale unavyo simama kwa muda usio mrefu labda unaonea na mtu nk
nashauri ukasome vizuri
Huyo jamaa nadhani siyo mtaalamu, nimeona clip nyingi youtube wajapani na wachina hata waropa wanaelezea tofauti na yeye 👇
7. Huwezi kusema mafuta yakifika nusu mtu ajazie; ungependekeza mafuta yakifika angalau robo tank...au pengine lita 10 japo inatofautiana kwa gari. Unajua mafuta ni mzigo??
 
1. Kushuka kwenye mteremko gari ikiwa neutral, hii inasababisha kuzuia oil kusambaa na kusababisha msuguano kukosa kilainishi hicho na kupelekea kusagika kwa baadhi ya sehemu.

2. Kukanyaga mafuta kabla ya kubadilisha gear. Hii ni hasa kwa vijana unawasha gari na kuanza kupiga resi, kitendo hicho husababisha msuguano mkali na unaweza kuharibu sehemu za engine.

3. Kubadilisha gear wakati gari bado inatembea, hakikisha unakamata brake kwanza ndipo ubadilishe gear.

4. Kuweka neutral kweye taa nyekundu kwenye taa za barabarani, watu wengi hufanya hivyo ili kusave mafuta lakini kiasi unachosave ni kidogo sana kulinganisha na gharama ya tatizo unaloweza tengeneza, tumia brake ili gari liendelee kuwa kwenye drive mode, madhara hutokea unapoweka na kutoa neutral.

5. Kuweka parking kabla gari halijasimama kabisa. Hakikisha gari limesimama kabisa ndipo unaweka parking.

6. Kuendesha gari kwa speed ya juu kabla ya engine kupata joto, hasa kipindi cha baridi hakikisha engine imepata joto ili kuwezesha oil kusambaa kwenye sehemu zote.

7. Kuacha mafuta yakiwa machache katika tank, tank la mafuta linatakiwa kuwa full au kuwa nusu lakini sio chini kabisa. kuwa full kunasaidia engine na sehemu nyingine kuwa cool.

Imetolewa na Kimomwe Motors (T) Ltd, waagizaji wa magari. 0746267740

View attachment 1263795
Point nyingi ulizotoa naona si kwa automatic ila kwa gari aina zote.
Sasa hapo pa tank kuwa full na upozaji hebu fafanua kuna uhusiano gani wa tank kuwa full na upozaji?
 
Back
Top Bottom