Vitu vya kufurahisha kuusu kobe wa majini (kasa)

fungi06

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2020
Posts
738
Reaction score
1,017
Hivi ndivyo mdomo wake ulivyo kwa ndani
Picha na buzzfeed

Watu wengi wamekua wakijiuliza sana kuusu mdomo wake unavyotisha

Ukiingia kwenye account ya ig kwa brykim official kwa kutumia biology na illustrator ameelezea vyema kuusiana na mdomo wa kasa

Izo miba za mdomo kwa kasa humsaidi kasa kuto kutapika kama ulikua aujui sasa

Maana pale wanavyo kula jelly fish huingiza kiasi kidogo cha maji tumboni

Hiyo miba throne humsaidia pale anapo tema maji kumtrap jellyfish kubakia tumboni kwake (husaidia chakula kubakia tumboni mwake)

Kwa hiyo i system ni kama inverted system filter

Apo usiogope sio kama anaumwa ilo ni jambo lakwaida mno yuko sawia kabisa
Apo ni anatapika maji ya bahari yenye rangi nyekundu kutokana na maji ya bahari nyekundu baada ya kula seaweed

Hii concept iko kama ya samaki anavyokula chakula baharini nakutoa maji kwenye gills

Mda mwingine kasa ujichanganya na kula plastic bag zilizo baharini akizania kua nazo ni jellyfish

Maskini anaskitisha e?
 
Kasa mtamu jamani japo ni illegal...nakumbuka sana pande za Mikindani
 
Hivi kobe wa majini ni kasa au kasa na kobe ni viumbe viwili tofauti? Labda sielewi.
Ninavyojua mimi kuna kobe na kasa
Kobe = Tortoise
Kasa = Turtle
 
Hivi kobe wa majini ni kasa au kasa na kobe ni viumbe viwili tofauti? Labda sielewi.
Ninavyojua mimi kuna kobe na kasa
Kobe = Tortoise
Kasa = Turtle

Kasa ni kiumbe wa majini (hasa maji chumvi). Aquatic animal.

Wakati kobe ni kiumbe wa nchi kavu (terrestrial animal).

Wawili hawa wana vitu kadhaa kibaiolojia vinavyofanana, wana ''undugu'' fulani. (evolutionary similarities).
 
Kasa sio kobe na kobe sio kasa. Faqat.
 
Hivi kobe wa majini ni kasa au kasa na kobe ni viumbe viwili tofauti? Labda sielewi.
Ninavyojua mimi kuna kobe na kasa
Kobe = Tortoise
Kasa = Turtle
Kwani ng'ombe na nyati ni kiumbe kimoja au viumbe viwili vya jamii inayoelekeana?

Nyati = Buffalo
Ng'ombe = Cow

Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…