Vitu vya kufurahisha kuusu kobe wa majini (kasa)

Kasa anapoanguliwa kutoka kwenye yai akitembea kutoka pale mayai yake yalipofukiwa kwenda baharini huacha Kama wino kwenye njia anayopitia kwenda kwenye maji..Na hata Kama ataenda Hadi japani lakini Kama alianguliwa Tanzania siku ya kutaga atarudi hapa na atatagia pale pale mama yake alipomtagia.
 
Kasa ni kiumbe wa majini (hasa maji chumvi). Aquatic animal.

Wakati kobe ni kiumbe wa nchi kavu (terrestrial animal).

Wawili hawa wana vitu kadhaa kibaiolojia vinavyofanana, wana ''undugu'' fulani. (evolutionary similarities).
Wakikutana Kasa anapotoka ndani ya maji kutaga mayai au kufanya chochote, wanaweza kuwa washikaji au kushangaana?
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Mamba pia ni ndege kama issue ni kutaga mayai

Nasikia wengine huwa mnakula,hilo si ni kama likobe tu.
 
Tofauti mzee, kobe haishi kwenye maji. Sawa na ng'ombe hawezi kuishi mbugani.

Weee, nani kakuambia ng'ombe hawezi kuishi mbugani (porini)???---- mbona Australia na India wapo Ng'ombe wa porini.
Mamba pia ni ndege kama issue ni kutaga mayai

Ndiyo, si ndiyo hivyo nilivyoandika hapo, huoni?
 
Weee, nani kakuambia ng'ombe hawezi kuishi mbugani (porini)???---- mbona Australia na India wapo Ng'ombe wa porini.

Ndiyo, si ndiyo hivyo nilivyoandika hapo, huoni?
Unafahamu mbuga lakini? Au kwa uelewa wako unajua mbuga ni eneo tambarare lenye majani??
Ngoja nikukumbushe kale kawimbo
"[emoji445]Mbuga za wanyama Tanzania, ya kwanza ni Serengeti, Ngorongoro, Manyara na Mikumi ooh Tanzania Oyee!![emoji445]
Ongezea na Tarangire.
 
Unafahamu mbuga lakini? Au kwa uelewa wako unajua mbuga ni eneo tambarare lenye majani??
Ngoja nikukumbushe kale kawimbo
"
emoji445.png
Mbuga za wanyama Tanzania, ya kwanza ni Serengeti, Ngorongoro, Manyara na Mikumi ooh Tanzania Oyee!!
emoji445.png

Ongezea na Tarangire.

Kweli wewe fikra zako bado ni ndogo sana.

Ni hivi Wanyama wote na ndege wanaofugwa asili yao ni porini (wild), aliyewafanya wafugike ni binadamu, kiasili ng'ombe anapoishi porini anaitwa "euroch" na wapo ng'ombe katika nchi fulani wanaishi porini, huko Canada kuna ng'ombe alitoroka zizini na hadi leo anaishi na wanyama pori wa huko, huko Australia mbuzi kama hawa wa kwetu wanaishi porini, Ngamia na paka huko Australia ni wanyama wa porini, huko kenya kuna mtu kafuga nyati na kamuweka pamoja na ng'ombe alianza kumfuga toka akiwa mtoto, kifupi ni kwamba wanyama wote wanaweza kufugwa (tamed) na vilevile na kuwa wanyumbani (Domesticated) halikadhalika wanaweza pia kurudishwa porini na wakazoea mazingira ya huko (adaptation) na vizazi vyao vikazoea mazingira.

Kimsingi wanyama wote asili yao ni porini na wanaweza kuishi porini huko na wakazoea mazingira ya huko.
 
Nye nye nye!
[emoji860][emoji860][emoji860]
 
Back
Top Bottom