Vitu vya kufurahisha kuusu kobe wa majini (kasa)

Vitu vya kufurahisha kuusu kobe wa majini (kasa)

Nikamuuliza kwani samaki ni mnyama au mdudu?
 
Hivi ndivyo mdomo wake ulivyo kwa ndani
Picha na buzzfeed
View attachment 1626158

Watu wengi wamekua wakijiuliza sana kuusu mdomo wake unavyotisha
View attachment 1626160

Ukiingia kwenye account ya ig kwa brykim official kwa kutumia biology na illustrator ameelezea vyema kuusiana na mdomo wa kasa
View attachment 1626166

Izo miba za mdomo kwa kasa humsaidi kasa kuto kutapika kama ulikua aujui sasa

Maana pale wanavyo kula jelly fish huingiza kiasi kidogo cha maji tumboni

View attachment 1626172

Hiyo miba throne humsaidia pale anapo tema maji kumtrap jellyfish kubakia tumboni kwake (husaidia chakula kubakia tumboni mwake)

View attachment 1626176

Kwa hiyo i system ni kama inverted system filter
View attachment 1626190

Apo usiogope sio kama anaumwa ilo ni jambo lakwaida mno yuko sawia kabisa
Apo ni anatapika maji ya bahari yenye rangi nyekundu kutokana na maji ya bahari nyekundu baada ya kula seaweed

Hii concept iko kama ya samaki anavyokula chakula baharini nakutoa maji kwenye gills

View attachment 1626193

Mda mwingine kasa ujichanganya na kula plastic bag zilizo baharini akizania kua nazo ni jellyfish

View attachment 1626194

Maskini anaskitisha e?
Hasikitishi ila naye akome na uroho wake. Yan anakula hadi plastic bags et anazani ni chakula? Papa tu hali hizo plastic bags yy ndio ana njaa sana
 
Hasikitishi ila naye akome na uroho wake. Yan anakula hadi plastic bags et anazani ni chakula? Papa tu hali hizo plastic bags yy ndio ana njaa sana
Mkuu vision iko difer si unajua kasa anataga nchi kavu papa anataga baarini yani apo ni kama unamfananisha diamond na zuchu
 
Najua wajua lakini ningependa nikujuze zaidi, Nilishawahi kufuga kasa. Je unajua kasa namna anavyochinjwa??
Hapana mkuu kuna jamaa uku amepost anaitwagwa na mpishi wake akale ila ukidakwa ni kama umetia mwanafunzi mimba
 
Tofauti mzee, kobe haishi kwenye maji. Sawa na ng'ombe hawezi kuishi mbugani.
Ngombe wetu sisi wanaishi mbugani mpaka leo, Wanakaa miezi 3/6/wengine mpaka miezi 12, ukiwafatilia mitamba imezaa madume yamekua yameongezeka uzito, kazi yako inakua kujua mahali walipo maana wanahama hama hawakai sehemu moja.
 
Back
Top Bottom