Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa. Tatizo ni je ndio wanakotakiwa kufugwa au ni kutokana na mazingira ya eneo mnaloishi?Ngombe wetu sisi wanaishi mbugani mpaka leo, Wanakaa miezi 3/6/wengine mpaka miezi 12, ukiwafatilia mitamba imezaa madume yamekua yameongezeka uzito, kazi yako inakua kujua mahali walipo maana wanahama hama hawakai sehemu moja.