Then mkuu kasa na kobe ni viumbe viwili tofauti, japo wana similarities chache lakini wapo tofauti.Kwani ng'ombe na nyati ni kiumbe kimoja au viumbe viwili vya jamii inayoelekeana?
Nyati = Buffalo
Ng'ombe = Cow
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Ila unakubali ni jamii moja?Tofauti mzee, kobe haishi kwenye maji. Sawa na ng'ombe hawezi kuishi mbugani.
Hapa tunaongelea kasa na kobe, kasa maisha yake ni majini na huja nchi kavu kutaga tu wakati kobe maisha yake ni nchi kavu maisha.
Kwahiyo unakubali kuwa kasa pia anauwezo wa kusurvive nchi kavu.Hapa tunaongelea kasa na kobe, kasa maisha yake ni majini na huja nchi kavu kutaga tu wakati kobe maisha yake ni nchi kavu maisha.
Kasa ana uwezo wa kukaa nchi kavu, lakini kobe hana uwezo wa kukaa majini.Kwahiyo unakubali kuwa kasa pia anauwezo wa kusurvive nchi kavu.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Wakikutana Kasa anapotoka ndani ya maji kutaga mayai au kufanya chochote, wanaweza kuwa washikaji au kushangaana?Kasa ni kiumbe wa majini (hasa maji chumvi). Aquatic animal.
Wakati kobe ni kiumbe wa nchi kavu (terrestrial animal).
Wawili hawa wana vitu kadhaa kibaiolojia vinavyofanana, wana ''undugu'' fulani. (evolutionary similarities).
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Wakikutana Kasa anapotoka ndani ya maji kutaga mayai au kufanya chochote, wanaweza kuwa washikaji au kushangaana?
Mamba pia ni ndege kama issue ni kutaga mayaiKasa na mamba ni ndege wa majini, kobe, mjusi, nyoka na kenge nk, ni ndege wa nchi kavu---- kwasababu wote wanataga mayai.[emoji851]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Mamba pia ni ndege kama issue ni kutaga mayai
Tofauti mzee, kobe haishi kwenye maji. Sawa na ng'ombe hawezi kuishi mbugani.
Mamba pia ni ndege kama issue ni kutaga mayai
Unafahamu mbuga lakini? Au kwa uelewa wako unajua mbuga ni eneo tambarare lenye majani??Weee, nani kakuambia ng'ombe hawezi kuishi mbugani (porini)???---- mbona Australia na India wapo Ng'ombe wa porini.
Ndiyo, si ndiyo hivyo nilivyoandika hapo, huoni?
Unafahamu mbuga lakini? Au kwa uelewa wako unajua mbuga ni eneo tambarare lenye majani??
Ngoja nikukumbushe kale kawimbo
"Mbuga za wanyama Tanzania, ya kwanza ni Serengeti, Ngorongoro, Manyara na Mikumi ooh Tanzania Oyee!!
Ongezea na Tarangire.
Chief hapa si kweli, kobe pia ana uwezo wa kuishi majini na nimeshughudia.Kasa ana uwezo wa kukaa nchi kavu, lakini kobe hana uwezo wa kukaa majini.
Chief hapa si kweli, kobe pia ana uwezo wa kuishi majini na nimeshughudia.
Kobe haogelei bali anatembea!!Chief hapa si kweli, kobe pia ana uwezo wa kuishi majini na nimeshughudia.
Kweli wewe fikra zako bado ni ndogo sana.
Ni hivi Wanyama wote na ndege wanaofugwa asili yao ni porini (wild), aliyewafanya wafugike ni binadamu, kiasili ng'ombe anapoishi porini anaitwa "euroch" na wapo ng'ombe katika nchi fulani wanaishi porini, huko Canada kuna ng'ombe alitoroka zizini na hadi leo anaishi na wanyama pori wa huko, huko Australia mbuzi kama hawa wa kwetu wanaishi porini, Ngamia na paka huko Australia ni wanyama wa porini, huko kenya kuna mtu kafuga nyati na kamuweka pamoja na ng'ombe alianza kumfuga toka akiwa mtoto, kifupi ni kwamba wanyama wote wanaweza kufugwa (tamed) na vilevile na kuwa wanyumbani (Domesticated) halikadhalika wanaweza pia kurudishwa porini na wakazoea mazingira ya huko (adaptation) na vizazi vyao vikazoea mazingira.
Kimsingi wanyama wote asili yao ni porini na wanaweza kuishi porini huko na wakazoea mazingira ya huko.
Kwahiyo mamba ni kiboko?Hata mamba anao uwezo wa kuishi nchi kavu.