Vitu vya kufurahisha kuusu kobe wa majini (kasa)

Kobe bryant je ni kobe au kasa?
 
Nikamuuliza kwani samaki ni mnyama au mdudu?
 
Hasikitishi ila naye akome na uroho wake. Yan anakula hadi plastic bags et anazani ni chakula? Papa tu hali hizo plastic bags yy ndio ana njaa sana
 
Hasikitishi ila naye akome na uroho wake. Yan anakula hadi plastic bags et anazani ni chakula? Papa tu hali hizo plastic bags yy ndio ana njaa sana
Mkuu vision iko difer si unajua kasa anataga nchi kavu papa anataga baarini yani apo ni kama unamfananisha diamond na zuchu
 
Najua wajua lakini ningependa nikujuze zaidi, Nilishawahi kufuga kasa. Je unajua kasa namna anavyochinjwa??
Hapana mkuu kuna jamaa uku amepost anaitwagwa na mpishi wake akale ila ukidakwa ni kama umetia mwanafunzi mimba
 
Tofauti mzee, kobe haishi kwenye maji. Sawa na ng'ombe hawezi kuishi mbugani.
Ngombe wetu sisi wanaishi mbugani mpaka leo, Wanakaa miezi 3/6/wengine mpaka miezi 12, ukiwafatilia mitamba imezaa madume yamekua yameongezeka uzito, kazi yako inakua kujua mahali walipo maana wanahama hama hawakai sehemu moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…