lwambof07
JF-Expert Member
- Jul 12, 2016
- 4,643
- 5,335
Kuna maswali mengi sana watu wanajiuliza mimi nikiwemo mmoja wapo kurejea kwa Chama SSC ndani ya mda mfupi;
- Je, Chama atakuwa bora kama kipindi kile?
- Kwa nini amerejea ndani ya kipindi kifupi?
- Huko alipoenda alikuwa hapati namba?
- Je, kiwango kimeshuka?
- SSC imeshindwa kabisa kupata mbadala wake?
- Chama amerejeshwa kwa sababu kocha ana muhitaji au kwa sababu mashabiki wanamuhitaji??
- Iwapo Chama atashindwa kurejea kwenye ubora wake benchi la ufundi wamejipangaje kwa hilo??