Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji848][emoji848]Hivi watopolo huwa mna matatizo gani kwenye bongo zenu?
*Chama alipouzwa mkasema simba bila chama hamna kitu.
*Mlipodanganywa na msukule kuwa chama tayari keshamalizana na Yanga mkasema Yanga itakuwa ya moto na mkajipanga tayari kwenda airport kumpokea.
*Baada ya Chama kurejea simba , kauli zimebadilika eti hana msaada kwa simba.
Hizi tabia za kikekike mnazitoaga wapi?
Hivi ametambulishwa Chama au bango la Chama?Maswali ya kupuuzi....
Unatafutaje mbadala wake wakati na yeye yupo?
Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
Na Dani Alves pale Barcelona [emoji28]Kilichomrudisha makambo utopwinyo na lukaku chlsea ndio jibu lako
Wewe umemuona Chama au bango?walisema leo atatambulishwa
Yule siyo makamboMpira hauko hivyo!! Sio kama vile mwalimu anakuja kuendeleza topic aliyoishia!!msije shangaa kinachoweza kutokea
D. NyoniLicha ya hilo watamyacha nani? Maana idadi ya wachezaji wa kigenu ishatimia
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Shirikisho hachezi, si ndio au?Simba inarudi kwenye ubora wake .
Period !!!
Haijalishi kama chama hachezi kombe la shirikisho kupitia yeye Simba itazidi kungaa .Shirikisho hachezi, si ndio au?