Vitu vya kujiuliza kurejea kwa Triple C Msimbazi

Vitu vya kujiuliza kurejea kwa Triple C Msimbazi

Na nyie utopolo si mlikuwa mnamhitaji?

Hayo maswali fanya Kama unayajibu wewe.
 
Kuna maswali mengi sana watu wanajiuliza mimi nikiwemo mmoja wapo kurejea kwa Chama SSC ndani ya mda mfupi;
  • Je, Chama atakuwa bora kama kipindi kile?
  • Kwa nini amerejea ndani ya kipindi kifupi?
  • Huko alipoenda alikuwa hapati namba?
  • Je, kiwango kimeshuka?
  • SSC imeshindwa kabisa kupata mbadala wake?
-Je SSC wapo sahihi kumrejesha kikosini?
  • Chama amerejeshwa kwa sababu kocha ana muhitaji au kwa sababu mashabiki wanamuhitaji??
  • Iwapo Chama atashindwa kurejea kwenye ubora wake benchi la ufundi wamejipangaje kwa hilo??
Kuna maswali mengi sana hapa[emoji848][emoji848]

View attachment 2080750
Mashabiki hawalijui hilo wao furaha yao chama karudi. Halafu kaka mpira wetu usajili wanafanya viongozi na si makocha.
 
Nipo interested na Comment ya Fraga
Screenshot_20220114-205709_Gallery.jpg
 
Kwaiyo chama ndo aliondoka na ubora wa simba kwa akili zako, alikuwa anacheza peke yake uwanjani sio
Jamani wana yanga mnateseka sana ,mbona hamtulii kabisa ?
mliosema hayawi hayawi sasa yamekuwa Chama ni mchezaji mzuri sana hivyo kurudi kwake Simba itazidi kuwa bora
 
Wakati Simba Inamuuza Chama Nyie Utopolo Mililamika Simba Inauza Chama Imeenda Kununua Banda Sasa Leo Chama Karudi Bado Mnalalamika Embu Kuweni Na Msimamo Bhana Na Mseme Mnataka Nini

UkimaindNatumaTena
 
Jamani wana yanga mnateseka sana ,mbona hamtulii kabisa ?
mliosema hayawi hayawi sasa yamekuwa Chama ni mchezaji mzuri sana hivyo kurudi kwake Simba itazidi kuwa bora
Sioni cha ajabu apo mlimuuza na nyie ndio mmemrudisha
 
Jamani wana yanga mnateseka sana ,mbona hamtulii kabisa ?
mliosema hayawi hayawi sasa yamekuwa Chama ni mchezaji mzuri sana hivyo kurudi kwake Simba itazidi kuwa bora
Mwiko Ulivyochomolewa na Azam ndo tatizo lilipoanzia[emoji28]
 
Back
Top Bottom