Licha ya hilo watamyacha nani? Maana idadi ya wachezaji wa kigenu ishatimiaKuna maswali mengi sana watu wanajiuliza mimi nikiwemo mmoja wapo kurejea kwa Chama SSC ndani ya mda mfupi;
-Je SSC wapo sahihi kumrejesha kikosini?
- Je, Chama atakuwa bora kama kipindi kile?
- Kwa nini amerejea ndani ya kipindi kifupi?
- Huko alipoenda alikuwa hapati namba?
- Je, kiwango kimeshuka?
- SSC imeshindwa kabisa kupata mbadala wake?
- Chama amerejeshwa kwa sababu kocha ana muhitaji au kwa sababu mashabiki wanamuhitaji??
- Iwapo Chama atashindwa kurejea kwenye ubora wake benchi la ufundi wamejipangaje kwa hilo??
Kuna maswali mengi sana hapa[emoji848][emoji848]
View attachment 2080750
Idadi imetimia kwa players wa ligi kuu tu , Simba inaruhusiwa kusajili wachezaji itakaowatumia katika kombe la Shirikisho pia Rejea kesi ya KahataLicha ya hilo watamyacha nani? Maana idadi ya wachezaji wa kigenu ishatimia
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Wabongo hawaeleweki kwa kweliHakuna maswali wala majibu hapo. Si ndio nyie mliokua mnasema Simba inammiss Chama. Haya huyo hapo kasharejea...
Naamini kiwango chake hakijashuka alikuwa man of the match game ya mwisho hivi .itapendeza zaidi ila mimi hadi nione kwanza maana huko sijamuona akiwa ana cheza