Vitu vya kujiuliza kurejea kwa Triple C Msimbazi

Triple C hatar sana
 

Majibu utayapata akiwa ndani ya uzi mwekundu na akiwa uwanjani
 
Mhh lwambo wewe acha kumuombea chama wetu mambo hayo .
haha hamna mimi simuombei mambo mabaya unajua kila kitu inabid ukiangalie kwa pande zote mbili ila pande ya kwanza inakuwa Positive kwanza
 
itapendeza zaidi ila mimi hadi nione kwanza maana huko sijamuona akiwa ana cheza
Fatilia kwenye official page ya club aliyotoka ile game ya try 29 December walioshindwa 4-1 alikuwa ni man of the match na alihusika kwenye goli moja.

Me nafikiri kuna sababu nyingine tofauti na hizo za kushuka kiwango, huenda hakuwa anafueahia maisha yake huko Morroco.
 
Mpira hauko hivyo!! Sio kama vile mwalimu anakuja kuendeleza topic aliyoishia!!msije shangaa kinachoweza kutokea
Ni swala muda tu kabla hajaanza kuuwasha moto tena, mechi yao Berkane tarehe 29 alikuwa ni man of the match na akicheza dk 90[emoji23][emoji23][emoji23].

Usibishabe na mimi, nenda kwenye official page ya team ukaangalie.
 
yawezekana
 
Ni swala muda tu kabla hajaanza kuuwasha moto tena, mechi yao Berkane tarehe 29 alikuwa ni man of the match na akicheza dk 90[emoji23][emoji23][emoji23].

Usibishabe na mimi, nenda kwenye official page ya team ukaangalie.
Ninaiman ataenda kuchek
 
Hivi watopolo huwa mna matatizo gani kwenye bongo zenu?
*Chama alipouzwa mkasema simba bila chama hamna kitu.
*Mlipodanganywa na msukule kuwa chama tayari keshamalizana na Yanga mkasema Yanga itakuwa ya moto na mkajipanga tayari kwenda airport kumpokea.
*Baada ya Chama kurejea simba , kauli zimebadilika eti hana msaada kwa simba.
Hizi tabia za kikekike mnazitoaga wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…