Vitu vya kujiuliza kurejea kwa Triple C Msimbazi

Na nyie utopolo si mlikuwa mnamhitaji?

Hayo maswali fanya Kama unayajibu wewe.
 
Mashabiki hawalijui hilo wao furaha yao chama karudi. Halafu kaka mpira wetu usajili wanafanya viongozi na si makocha.
 
Kwaiyo chama ndo aliondoka na ubora wa simba kwa akili zako, alikuwa anacheza peke yake uwanjani sio
Jamani wana yanga mnateseka sana ,mbona hamtulii kabisa ?
mliosema hayawi hayawi sasa yamekuwa Chama ni mchezaji mzuri sana hivyo kurudi kwake Simba itazidi kuwa bora
 
Wakati Simba Inamuuza Chama Nyie Utopolo Mililamika Simba Inauza Chama Imeenda Kununua Banda Sasa Leo Chama Karudi Bado Mnalalamika Embu Kuweni Na Msimamo Bhana Na Mseme Mnataka Nini

UkimaindNatumaTena
 
Jamani wana yanga mnateseka sana ,mbona hamtulii kabisa ?
mliosema hayawi hayawi sasa yamekuwa Chama ni mchezaji mzuri sana hivyo kurudi kwake Simba itazidi kuwa bora
Sioni cha ajabu apo mlimuuza na nyie ndio mmemrudisha
 
Jamani wana yanga mnateseka sana ,mbona hamtulii kabisa ?
mliosema hayawi hayawi sasa yamekuwa Chama ni mchezaji mzuri sana hivyo kurudi kwake Simba itazidi kuwa bora
Mwiko Ulivyochomolewa na Azam ndo tatizo lilipoanzia[emoji28]
 
Ila huyu jamaa akapimwe akili[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…