Vitu vya Tanzania ambavyo wakenya wanasema ni vyao

Vitu vya Tanzania ambavyo wakenya wanasema ni vyao

Iconoclastes bora utulie tu
Unazidi kuji aibisha tu!!
Toa mfano hata mmoja
Wapi umeona mkenya Au kitu chochote toka Kenya
Mtanzania au watanzania wakasema nichao!!?

Kuna msanii chipukizi juzi hapa kazua makelele
Mzazi alikosea na kupost
Chipukizi kutoka jenya ata tumbuiza sijui wapi huko
Ikamlazimu jamaa mwenyewe kukanusha yeye si mkenya ni mtanzania.
 
Hawa wakenya wanafanya hivo kimzaha au kwa kutojua.
MOTOCHINI, hata mimi kitambo nilidhani ile bendi ya Yamoto ni ya kikenya, kutoka Mombasa. Sikuamini nilipoarifiwa actually they are Tanzanians.

You pipo are just being so petty and insecure!
 
Mwanzi1, it is the Kenyans that are consuming the Tanzanian music the most in this region, whilst neglecting their own claiming low-quality standards. They are lionized here more than at home. So, it's Kenyans that have placed them on that pedestal.

Are you serious, unasema our local artists wanapendwa Kenya kuliko wanavyo pendwa Tanzanian?? Have you seen Tanzanian artist performing in Tanzanian. Kenya is a prominent market but sio [thee] market. Have you been in Arab world and see how they adore Tanzanian art contest, or other part of East and central Africa. Beside, Kenya have a new law in place which force the consumption of local content by 40%.
 
Hawa wakenya wanafanya hivo kimzaha au kwa kutojua.
MOTOCHINI, hata mimi kitambo nilidhani ile bendi ya Yamoto ni ya kikenya, kutoka Mombasa. Sikuamini nilipoarifiwa actually they are Tanzanians.

You pipo are just being so petty and insecure!
Hakuna utani wa hivyo
Kwanini kwa vitu vizuri pekee
Mabaya kutoka Tanzania hamtanii ni kenya
Ispokuwa mazuri pekee!!!

Kugundua huyu msanii siyo mkenya
Nirahisi sana
Mkenya kuimba mwanzo mwisho kwa kiswahili bila kuchanganya changanya ni taabu,
Unakuta mkenya anaimba wimbo wa kumbembeleza mtu
Ajabu midundo na uchezaji wake
Kama wapo vitani!!!
 
Unajuwa hii ni dhambi waingereza waliacha Kenya walipo ondoka, dhambi ya kudharau walio chini yako. Mtanisema, Mtanipiga mawe lakini ukweli ndio huo.

Wakati waingereza wana tawala Kenya, waliweka level za watu. Inaanza na Mzungu, halafu Muhindi, mwisho anakuja Mwafrika mweusi. Mkoloni alivyo ondoa waKenya mkaichukuwa hii dhambi na kuanza kuitumia wenye kwa wenye. Na sasa mnaileta mpaka kwa watanzania (kuona kama Mtanzania yupo chini ya Mkenya). Hapa kwa watanzania mmefeli, kwasababu mtanzania ni bora afe masikini au afe kwa njia kuliko kukubali kudharauliwa kwa njia yoyote ile.
 
Watu wa Mombasa wanazungumza Kiswahili kizuri tu, kama cha kitanzania. And u seriously dont think that we are really claiming your stuff. . Kenyans only want tio associate with good things, Kenyans only appreciate the good music coming from Tanzania, and I do not comprehend why u should take offenseat that.
And Annael should provide the link or the name of the magazine that made that unfortunate error, cos most possibly it could even not be Kenyan.

Ie......these guys made the similar blunder by saying that the Mt. Kilimanjaro is in Kenya, following the death of these SAn who was trying to summit that mountain
South African athlete dies while climbing Kilimanjaro
I have encountere similar such blunders from pipo on such websites as Nairaland stating that that mountain or the Serengeti park is located in Kenya.

You are very petty pipo.
 
Digging the coffins to retrieve the valuables, not for purposes of witchcraft........get the differnce?

_47648534_africa_religion3_466.gif

BBC News - Ten things we have learnt about Africa
 
Unajuwa hii ni dhambi waingereza waliacha Kenya walipo ondoka, dhambi ya kudharau walio chini yako. Mtanisema, Mtanipiga mawe lakini ukweli ndio huo.

Wakati waingereza wana tawala Kenya, waliweka level za watu. Inaanza na Mzungu, halafu Muhindi, mwisho anakuja Mwafrika mweusi. Mkoloni alivyo ondoa waKenya mkaichukuwa hii dhambi na kuanza kuitumia wenye kwa wenye. Na sasa mnaileta mpaka kwa watanzania (kuona kama Mtanzania yupo chini ya Mkenya). Hapa kwa watanzania mmefeli, kwasababu mtanzania ni bora afe masikini au afe kwa njia kuliko kukubali kudharauliwa kwa njia yoyote ile.
Usinidanganye ya kwamba in Tanzania the the same isnt the case, parhaps even in a greater extent than in Kenya.
You people display a lot of fear and reverence for these people. If u werent, u wouldnt be making all these absurd claims about them controlling some other countries' economies, engaging in some conspiracies against the black race.....all that cowsh!t
 
Hiyo magazine ya Topstories mimi sijaiona mahali, its most likely not Kenyan
 
Digging the coffins to retrieve the valuables, not for purposes of witchcraft........get the differnce?

_47648534_africa_religion3_466.gif

BBC News - Ten things we have learnt about Africa
What's the diffrence, Kenya do witchcraft too in all four corners of the country. Na election inakuja, kila mtu anakimbilia kwa waganga kutafuta ushindi wa uchaguzi. Statistics zako hazina maana kwasababu watu wanopenda uchawi they don't do out there na kujisema wanafanya uchawi. Lakini hata Kenya mnafanya sana uchawi.

Kenyan politicians are using witchcraft to win in 2017, including a top one - Zipo.co.ke
 
Usinidanganye ya kwamba in Tanzania the the same isnt the case, parhaps even in a greater extent than in Kenya.
You people display a lot of fear and reverence for these people. If u werent, u wouldnt be making all these absurd claims about them controlling some other countries' economies, engaging in some conspiracies against the black race.....all that cowsh!t
No is not the case at all, wewe kweli hauijuwi Tanzania. Tanzania unaweza ukawa mtoto wa masikini wa kutupa na kesho ukawa rais wa Tanzania. Tell me if you could be a son of a poor man and be a president of Kenya. Magufuli, or Kikwete, or even Mkapa and Nyerere they wouldn't be president if they were born in Kenya.
 
Hahaha !!
Annael hili sio kwakenys pekee kwa sasa
Japo wakenya wanaongoza kwa kufanya ujinga huu!!

Mwaka jana Congo nako wakachukua picha ya mji wa Dar
Wakasema nikwao!!!

de21a5f3b38c43653a53c43071b45d4a.jpg
87722e0273cecc9e5c8365c389d1dab6.jpg

Huwa nashangaa sana
Hivi una anzaje kutangaza kitu cha jirani yako kuwa ni chako!!?

Sijawahi kuona mtanzania kasema kitu/Mtu toka kenya
Ni cha/wa Tanzania!!
Kwanini kenya !!!

Mrisho mpoto Mkenya!!
Vanessa mdee Mkenya!!
Olduvai Kenya!!
Navy Kenzo Wakenya!!
Diamond Mkenya!!
Kilimanjaro Kenya!!
Kigamboni Bridge Kenya!!
Nk
[emoji124] [emoji124]
Tangu niliposoma habari za yule mungu wa Wakenya anaitwa Wanyonyi na anaabudiwa kabisa nilishawadharau wakenya na kuwaona vichwa maji.

Sasa nimesikia huyo mungu wao ameshakufa.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Oneni aibu basi watani zetu.

Nchini Kenya wamtaja Staa wa Filamu Bongo, Gabbo kuwa ni mkenya.
View attachment 462182
 
Wapi? Hayo ni mambo ya huko kwenyu, hata inajulikana dunia mzima. Albino wanawindwa kama wanyama mwitu na takriban 90% ya watu wanaamini ushirikina.
Want u Proof?
Sasa mnasubiri nini kuchukua na hiyo au mnataka mambo mazuri tu JIBWA WEWE
 
Hawa wakenya wanafanya hivo kimzaha au kwa kutojua.
MOTOCHINI, hata mimi kitambo nilidhani ile bendi ya Yamoto ni ya kikenya, kutoka Mombasa. Sikuamini nilipoarifiwa actually they are Tanzanians.

You pipo are just being so petty and insecure!
...Insecure to who??
 
Back
Top Bottom