Sipendagi ku-demonise watu walio kufa. But just kukuonyesha hata Kenya you've things which are consider as inhuman.Wapi? Hayo ni mambo ya huko kwenyu, hata inajulikana dunia mzima. Albino wanawindwa kama wanyama mwitu na takriban 90% ya watu wanaamini ushirikina.
Want u Proof?
Mwanzi1, it is the Kenyans that are consuming the Tanzanian music the most in this region, whilst neglecting their own claiming low-quality standards. They are lionized here more than at home. So, it's Kenyans that have placed them on that pedestal.
Hakuna utani wa hivyoHawa wakenya wanafanya hivo kimzaha au kwa kutojua.
MOTOCHINI, hata mimi kitambo nilidhani ile bendi ya Yamoto ni ya kikenya, kutoka Mombasa. Sikuamini nilipoarifiwa actually they are Tanzanians.
You pipo are just being so petty and insecure!
Unajuwa hii ni dhambi waingereza waliacha Kenya walipo ondoka, dhambi ya kudharau walio chini yako. Mtanisema, Mtanipiga mawe lakini ukweli ndio huo.Hawa wakenya wanafanya hivo kimzaha au kwa kutojua.
MOTOCHINI, hata mimi kitambo nilidhani ile bendi ya Yamoto ni ya kikenya, kutoka Mombasa. Sikuamini nilipoarifiwa actually they are Tanzanians.
You pipo are just being so petty and insecure!
Watu wa Mombasa wanazungumza Kiswahili kizuri tu, kama cha kitanzania. And u seriously dont think that we are really claiming your stuff. . Kenyans only want tio associate with good things, Kenyans only appreciate the good music coming from Tanzania, and I do not comprehend why u should take offenseat that.Hakuna utani wa hivyo
Kwanini kwa vitu vizuri pekee
Mabaya kutoka Tanzania hamtanii ni kenya
Ispokuwa mazuri pekee!!!
Kugundua huyu msanii siyo mkenya
Nirahisi sana
Mkenya kuimba mwanzo mwisho kwa kiswahili bila kuchanganya changanya ni taabu,
Unakuta mkenya anaimba wimbo wa kumbembeleza mtu
Ajabu midundo na uchezaji wake
Kama wapo vitani!!!
Digging the coffins to retrieve the valuables, not for purposes of witchcraft........get the differnce?Sipendagi ku-demonise watu walio kufa. But just kukuonyesha hata Kenya you've things which are consider as inhuman.
Stealing from the dead was Kibera’s main occupation - Nairobi News
Grave-robber arrested after 'digging up dead body to sell the golden coffin' | Daily Mail Online
Usinidanganye ya kwamba in Tanzania the the same isnt the case, parhaps even in a greater extent than in Kenya.Unajuwa hii ni dhambi waingereza waliacha Kenya walipo ondoka, dhambi ya kudharau walio chini yako. Mtanisema, Mtanipiga mawe lakini ukweli ndio huo.
Wakati waingereza wana tawala Kenya, waliweka level za watu. Inaanza na Mzungu, halafu Muhindi, mwisho anakuja Mwafrika mweusi. Mkoloni alivyo ondoa waKenya mkaichukuwa hii dhambi na kuanza kuitumia wenye kwa wenye. Na sasa mnaileta mpaka kwa watanzania (kuona kama Mtanzania yupo chini ya Mkenya). Hapa kwa watanzania mmefeli, kwasababu mtanzania ni bora afe masikini au afe kwa njia kuliko kukubali kudharauliwa kwa njia yoyote ile.
What's the diffrence, Kenya do witchcraft too in all four corners of the country. Na election inakuja, kila mtu anakimbilia kwa waganga kutafuta ushindi wa uchaguzi. Statistics zako hazina maana kwasababu watu wanopenda uchawi they don't do out there na kujisema wanafanya uchawi. Lakini hata Kenya mnafanya sana uchawi.Digging the coffins to retrieve the valuables, not for purposes of witchcraft........get the differnce?
BBC News - Ten things we have learnt about Africa
Nakumbuka Wakenya walishasema MARLOW ni mkenya, mpaka wana afrika wengine wanaamini hivyo mpaka leo.Oneni aibu basi watani zetu.
Nchini Kenya wamtaja Staa wa Filamu Bongo, Gabbo kuwa ni mkenya.
View attachment 462182
No is not the case at all, wewe kweli hauijuwi Tanzania. Tanzania unaweza ukawa mtoto wa masikini wa kutupa na kesho ukawa rais wa Tanzania. Tell me if you could be a son of a poor man and be a president of Kenya. Magufuli, or Kikwete, or even Mkapa and Nyerere they wouldn't be president if they were born in Kenya.Usinidanganye ya kwamba in Tanzania the the same isnt the case, parhaps even in a greater extent than in Kenya.
You people display a lot of fear and reverence for these people. If u werent, u wouldnt be making all these absurd claims about them controlling some other countries' economies, engaging in some conspiracies against the black race.....all that cowsh!t
We nyang'au eti ni kweli yule Mungu wenu Wanyonyi amekufa?Na kuua,kula Na sasa kufukua taiti za albino ni vipi. MLa albino unaleta ligi za kipuzi!
That's aint a Kenyan "magzine" miss.Oneni aibu basi watani zetu.
Nchini Kenya wamtaja Staa wa Filamu Bongo, Gabbo kuwa ni mkenya.
View attachment 462182
Tangu niliposoma habari za yule mungu wa Wakenya anaitwa Wanyonyi na anaabudiwa kabisa nilishawadharau wakenya na kuwaona vichwa maji.Hahaha !!
Annael hili sio kwakenys pekee kwa sasa
Japo wakenya wanaongoza kwa kufanya ujinga huu!!
Mwaka jana Congo nako wakachukua picha ya mji wa Dar
Wakasema nikwao!!!
Huwa nashangaa sana
Hivi una anzaje kutangaza kitu cha jirani yako kuwa ni chako!!?
Sijawahi kuona mtanzania kasema kitu/Mtu toka kenya
Ni cha/wa Tanzania!!
Kwanini kenya !!!
Mrisho mpoto Mkenya!!
Vanessa mdee Mkenya!!
Olduvai Kenya!!
Navy Kenzo Wakenya!!
Diamond Mkenya!!
Kilimanjaro Kenya!!
Kigamboni Bridge Kenya!!
Nk
[emoji124] [emoji124]
Oneni aibu basi watani zetu.
Nchini Kenya wamtaja Staa wa Filamu Bongo, Gabbo kuwa ni mkenya.
View attachment 462182
Sasa mnasubiri nini kuchukua na hiyo au mnataka mambo mazuri tu JIBWA WEWEWapi? Hayo ni mambo ya huko kwenyu, hata inajulikana dunia mzima. Albino wanawindwa kama wanyama mwitu na takriban 90% ya watu wanaamini ushirikina.
Want u Proof?
...Insecure to who??Hawa wakenya wanafanya hivo kimzaha au kwa kutojua.
MOTOCHINI, hata mimi kitambo nilidhani ile bendi ya Yamoto ni ya kikenya, kutoka Mombasa. Sikuamini nilipoarifiwa actually they are Tanzanians.
You pipo are just being so petty and insecure!
...Insecure to who??Hawa wakenya wanafanya hivo kimzaha au kwa kutojua.
MOTOCHINI, hata mimi kitambo nilidhani ile bendi ya Yamoto ni ya kikenya, kutoka Mombasa. Sikuamini nilipoarifiwa actually they are Tanzanians.
You pipo are just being so petty and insecure!
Hawa wakenya wanafanya hivo kimzaha au kwa kutojua.
MOTOCHINI, hata mimi kitambo nilidhani ile bendi ya Yamoto ni ya kikenya, kutoka Mombasa. Sikuamini nilipoarifiwa actually they are Tanzanians.
You pipo are just being so petty and insecure!