Baada ya ukabilaUjinga wetu haujaanza na Gabo, umeanza na kumshinda Miss Tanzania, kushinda Tanzania economically etc. Meanwhile nangoja unipe jina ya huo mtandao na unitupie link otherwise you've proved to yourself how stupid baseless paranoia is keeping Tanzania - one of the most resource rich countries in the world - an LDC
Kwanza karibu[emoji16]
Baada ya ukabila
Wakenya sifanyingine ni hii
Report: 8 out of 10 kenyans are potential thieves - scoopnest.com
Nirudie mara ngapi wewe!!!Acha kutapatapa,.....nipe link ya mtandao au uache kuboboja.
Nirudie mara ngapi wewe!!!
Huyo mtu mmoja ndio vituu?Mada zingine mimi naona mtu kalewa maharage aliokula jioni ndio maana anaandika utumbo wa kuku.Oneni aibu basi watani zetu.
Nchini Kenya wamtaja Staa wa Filamu Bongo, Gabbo kuwa ni mkenya.
View attachment 462182
Labda hawana vya kujivunia. Watakapo mtaja Nyerere kuwa wao, hapo tutawashitaki. Mengine wajitanabaishe nayo tu. Mi Nyerere wangu tu.Hahaha !!
Annael hili sio kwakenys pekee kwa sasa
Japo wakenya wanaongoza kwa kufanya ujinga huu!!
Mwaka jana Congo nako wakachukua picha ya mji wa Dar
Wakasema nikwao!!!
Huwa nashangaa sana
Hivi una anzaje kutangaza kitu cha jirani yako kuwa ni chako!!?
Sijawahi kuona mtanzania kasema kitu/Mtu toka kenya
Ni cha/wa Tanzania!!
Kwanini kenya !!!
Mrisho mpoto Mkenya!!
Vanessa mdee Mkenya!!
Olduvai Kenya!!
Navy Kenzo Wakenya!!
Diamond Mkenya!!
Kilimanjaro Kenya!!
Kigamboni Bridge Kenya!!
Nk
[emoji124] [emoji124]
Wapi? Hayo ni mambo ya huko kwenyu, hata inajulikana dunia mzima. Albino wanawindwa kama wanyama mwitu na takriban 90% ya watu wanaamini ushirikina.
Want u Proof?
Wewe unaweza kuchamba kidogo sana? Kumwita mwenzio mbumbu we umbumbu wako unaonesha kwa siri?Wewe unaweza kuchamba sana sio? Umbumbumbu wako usiuoneshe wazi wazi.
Wapi? Hayo ni mambo ya huko kwenyu, hata inajulikana dunia mzima. Albino wanawindwa kama wanyama mwitu na takriban 90% ya watu wanaamini ushirikina.
Want u Proof?
Mwehu wewe unae post mada zisizo na kichwa wala miguu.Wakenya wanaiga vitu vingii,taja hivyo vitu vingi ni vipi tuvijue ndio uje kumalizia sasa huyo msanii uliemtaja.Lakini zaidi ya hapo utabaki utumbo tu.Kwikwikwikwi. Ona sasa unavyojiaibisha. Nimekugusa kidogo tu nawe umekuja mzima mzima kama mwehu vile!!
Mwehu wewe unae post mada zisizo na kichwa wala miguu.Wakenya wanaiga vitu vingii,taja hivyo vitu vingi ni vipi tuvijue ndio uje kumalizia sasa huyo msanii uliemtaja.Lakini zaidi ya hapo utabaki utumbo tu.
Kiswahili cha mwendokasiWewe unaweza kuchamba kidogo sana? Kumwita mwenzio mbumbu we umbumbu wako unaonesha kwa siri?
Tatizo wewe nimesema ni upungufu wa uwezo. Nimesema nyie wakenya niweupe kichwani huwezi hata ku browse. Website hii hapaHata huyo msanii ni uongo mtupu. Hiyo website iliyoandikwa hapo haiexist na hata huyo msanii hajulikani Kenya - mimi nimemsikia mara ya Kwanza leo. Huyu mwenzenu ana kichaa