Vitu vya uongo tunavyoonyeshwa kwenye muvi za kizungu

Vitu vya uongo tunavyoonyeshwa kwenye muvi za kizungu

Ni kweli mkuu lakini wangepunguza uongo kidogo. Nyingine ni ile eti unakuta maadui kama 10 wanapigana na Jet Li ila wanaenda mmoja mmoja anawapiga mpaka wanaisha 😂 Sasa si wamrukie wote kwa pamoja mbona easy wangeshammaliza 😂😂
Hahahaha we unashangaa hilo tafuta muvi za Steven siga yule jomba hajawahi kupigwa wala kupata mchubuko wa risasi hata kwa bahati mbaya tu kuanzia muvi inaanza mpaka inaishia
 
Kuna ile eti unakuta jamaa kakutana na demu, hata hawajuani. Wanaongea maneno mawili matatu jamaa anaanza kumuangalia demu usoni halafu anamsogezea uso taratibu. Eti demu nae anasogeza mpaka wanakiss. Hii ijaribu mitaani uone utakavyolambwa makofi 🤣

mkuu! hapo kwenye bunduki kutoisha mi nakataa, sababu nimetoka kucheki muvi muda si mrefu, kuna mwamba alijitia kushoot shoot zikamwishia wakamlamba ya ugoko ..
 
Minimecheka hiyo ya kupigana juu ya train[emoji3][emoji3][emoji3]
🤣🤣🤣 yaani sehemu za kupigania zipo tele huku ardhini, watu wanaenda kupanda juu ya treni ili wapigane. Halafu lazima treni itaingia kwenye tunnel hapo watalala chali mpaka upande wa pili wanaendelea tena 😀
 
Ni movie mkuu (mambo yasiyo halisi)

Sasa je sci-fi movie?😀
 
Kuna ile eti unakuta jamaa kakutana na demu, hata hawajuani. Wanaongea maneno mawili matatu jamaa anaanza kumuangalia demu usoni halafu anamsogezea uso taratibu. Eti demu nae anasogeza mpaka wanakiss. Hii ijaribu mitaani uone utakavyolambwa makofi [emoji1787]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]инαнαнααα
 
Haa haa ha mkuu umetisha..... na ile wakianza kupigana lazima star aanze kupigwa
Star hata apigwe risasi hua hafi anaweza chezea kichapo cha hatari ila mwishoni utashangaa eti yeye ndio anashinda. Wakati huo huo maadui wakipigwa ngumi moja tu wanazima moja kwa moja wala hawaamki tena asilani 🤣
 
😹😹😹😹
 
Kwenye muvi ukikuta star amejificha sehemu, lazima adui atakuja mpaka hatua mbili kabla hajafika alipojificha atabadilisha mawazo na kuondoka. Au simu itaita, au ataitwa na mwenzake na kuondoka.
Mwishoni amechoka kabisa madamu yanamvuja anaanza kumwadhibu ambae hajaumia😂😂🤣🤣😄😄
 
Yani hizi movie acha kabisa, mastering wakiponduka na gari wakati wanafukuzana yani halichukui round linaripuka utadhani lilitegewa mabomu 100!! Gari la mastering mpaka wajiokoe kwanza afu ndio lilipuke badae 😹😹😹😹😹😹 pumbafu kabisa
 
Kwenye muvi ukikuta star amejificha sehemu, lazima adui atakuja mpaka hatua mbili kabla hajafika alipojificha atabadilisha mawazo na kuondoka. Au simu itaita, au ataitwa na mwenzake na kuondoka.
Yaani hapo huwa nachanganyikiwa natamani nimshtue. Ila muvi zinatuweza niliangalia bird box nililia kama mtoto.
 
Back
Top Bottom